Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni,
Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine...
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu.
Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day)
Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya...
Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?.
Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala...
kalibu tena katika muendelezo wa darsa zangu fikirishi na zenye kuamsha fikra chanya kwa wenye kutafakari.
leo nintatoa au kufundisha kitu ambacho kitafanyika majalibio kwa watu 22 wa humu humu...
Waziri anatumia hadi mfano wa deni la songesha ili kuelezea deni la serikali, hahah patam hapo.
"Acha nianzie na songesha mana mimi huwa nasongesha, nini maana ya kukopa? Kukopa ni pale ambapo...
YESU KRISTO NI HALISI
RonWyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la #Golgotha, mahali ambapo Yesu...
Habari wakuu
Kama kichwa kinavyojieleza vitu hvyo ni kama vifutavyo
✅Good profile
✅Goodsite kama vile upwork,fiverr na zingineezo
✅Skills
✅Mullavid VPN
✅Tor browser
✅Crypto wallet kama vile...
Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo...
TAALUMA HII YA KIJASUSI IMEKWENDA WAPI?
Na Thadei Ole Mushi.
#Spin Doctor ni taaluma ya kijasusi ya kubadili hali ya mambo. Taaluma hii hutumiwa sana sana na wanasisa katika kuondoa mijadala na...
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo...
Katika ripoti iliyokabidhiwa kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Seelemani Jafo Machi 18, 2025 jijini Dar es Salaam, mambo 10 yalibainika, yakiwamo ya kampuni za wawekezaji kutosjiliwa Kituo cha...
Baba ndo chanzo chako yeye ndo mbegu na yeye ndo amesababisha wewe kuzaliwa.
Lazima ukae vizuri na baba yako ili akubariki.
Ni kosa kubwa kumtenga baba yako na kumkimbia utazokosa baraka.
Mama...
Wadau zangu kwa sasa nipo mkoa wa kagera nipo maeneo ya BUKOBA.
Katika huu mkoa siku zote najua wenyeji wa Mkuu mkoa ni WAHAYA
Lakini kinachonishangaza WAHAYA wenyewe kwa wenyewe wanabaguana...
"Wanaume mlioko hapa katika hiki Kipindi cha Malumbano ya Hoja naomba niwaambieni Ukweli kama una Mke au Mpenzi wako anafanya Kazi Ofisi yoyote ile jua ya kwamba kapata hiyo Kazi na Cheo kama...
Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani...