Walimu bora wa shule za sekondari kwa nyakati zote hapa Tanzania

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Naomba tuwape heshima waalimu walioacha legacy inayodumu kwa wanafunzi wao. Mimi naanza na huyu.

Mwalimu Mnzava - Mbeya secondary (Mbeya Day)

Huyu mama alihamia hii shule miaka ya mwisho ya 1980s na alidumu hapo mpaka kustaafu kwake miaka ya 2010s. Kila mkuu wa shule alikuwa anakataa kabisa kukubali pale serikali ilipotaka kumhamisha.

HAKUWAHI kushika kiboko wala kuchapa wanafunzi miaka yake yote pamoja na kwamba alifundisha Mathematics (Basic and Additional) na Chemistry. Miaka mingi alifundisha O-level na kidogo A-level.

Alikuwa anazifahamu sana hesabu na alijua kufundisha kwa lugha nyepesi. Heshima za kutosha kwake.
 
Mwalimu Nzoi wa Pugu High School! Alikuwa anafundisha somo la physics! Huyu mwamba alikuwa anaingia darasani bila kitabu wala notice! Wakati niko A level early 1990s ndo alinifundisha kuderive "trajectory equations". Shida yake alikuwa tungi wa mnazi!
 
History - Mtefu (RIP), na Language - Michael Simwaba (RIP). Wote kwa pamoja walikuwa Meta Secondary School Mbeya; enzi hizo.
Huyo simwaba alikuwa anakuja hadi Ivumwe kupiga pindi muda wa asubuhi sana wakati wanafunzi wengine wakiendelea na usafi wa hapa na pale.

Yupo pia mwalimu Mwangosi alikuwa mtata sana na kichwa kwelikweli kwa somo la kiswahili pale Ivumwe.

Wapo akina mwalimu madam Masaili alikuwa naye upande wa language ,Yasini upande wa GEOGRAPHY na wengine wengi kutoka IVUMWE High school.kule vilijaa vichwa vitupu hasa Advance.

Pia alikuwepo mwalimu Mgonja pale Sangu high school kwa upande wa GEOGRAPHY.
 
Wewe mshabiki wa ccm kumbe ulisoma hizo shule za jumuia ya wazazi? No wonder unashabikia hata upuuzi wa viongozi wako. Inasikitisha wamekugeuza chawa.
 
Wewe mshabiki wa ccm kumbe ulisoma hizo shule za jumuia ya wazazi? No wonder unashabikia hata upuuzi wa viongozi wako. Inasikitisha wamekugeuza chawa.
😀😀😀Najivunia kusoma shule hizo .nilipata Elimu bora sanaa na ya kunijenga kujiamini sana mbele za watu na kujenga hoja bila hofu wala wasiwasi. Hata leo ningetaka kurejea shule upande wa Advance basi ningechagua hizo shule za wazazi CCM mkoani Mbeya hasa IVUMWE High school
 
Ingekuwa heri kama ungepata elimu bora ili ujiepushe kutumiwa na hawa wanasiasa. Ndugu yangu una thamani kubwa kuliko kushinda mitandaoni ukilamba nyeti za wengine upate kula.
 
Mwl. Joseph Greygory wa kiingereza aliyefundisha pale Tengeru boys 2016-2020, alikuwa mshikaji sana kwa wanafunzi, darasani stori kama zote. Alivoondoka kila mtu alishtuka yaani

Na kile kipara chake tulikua tunamuita Guardiola

Nakumbuka alikua ana msemo wake 'Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe shuleni'🤣
Kumbe JF tupo na watoto wetu.
 
Back
Top Bottom