Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa...
Kwanini imezoeleka kukadiria mu flani kama kwao wana maisha mazuri basi wazazi wameajiriwa, kwanini isiwe imezoeleka kukadiria wazazi ni wafanyabiashara ?
Yusufu kwao wana maisha - mzee ni...
Kwanza niseme tu sijakataza msizijali familia zenu. Lakini nawashauri jijali kwanza mwenyewe maana familia Haina shukrani kuanzia huyo mke wako na watoto wako wote.
Usidhani watakuja kukuona wa...
Habarini,
Hili nalo linafikirisha WAAFRIKA wanakosa gani mbele ya MUNGU WA KWELI hadi waandaliwe moto wa kuwaunguza wakati wazungu waliowatawala na kuwanyonya wanastarehe tu ma kula mema ya...
Ni usawa ambao binti anakuwa exposed na dunia katika kiganja chake regardless akiwa geti kali.
Ni usawa ambao binti ambae mwenye aiba ya utupu ndio anakuwa glorified na televised.
Let us share...
Katika jamii ya sasa, vijana wengi wanakosa mwelekeo na thamani, na hili linaweza kuathiri jamii nzima. Kama kizazi hiki hakitapewa uangalizi na mwongozo, tunaweza kujikuta na kizazi kilichopoteza...
Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha.
Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya...
Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
Wilaya...
Hili nalo linafikirisha sana. Je kuna ulazima gani wa waafrika kulazimika kuwa Waislam, Wakristu au Waarabu wakati Mungu wa watu wote aliwaumba ktk uafrika wao na katika asili na mila zao? Je...
Baadhi ya Maeneo ya hapa Dar tumekosa umeme tangu asubuhi tu hadi jioni hii.
Ila ninaamini Mama yetu angalijua Mapema tusingeshinda bila umeme, hata Waziri Mkuu angelijua mapema tusingelikosa...
Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata
Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo...
Huyu kijana aliyekuwa anafanya kazi hapa kama operator wa forklift, aliacha ghafla kuja kazini wiki chache zilizopita. Nikafanya jitihada kumtafuta akawa hapokei simu.
Baada ya siku kadhaa...
Mwizi, Mwizi, Mwizi... Kusikia hii Yowe kwa watanzania wengi ni kibali cha kuanza kumfukuzia mlengwa na kujichukulia sheria kwa kumshushia kumpiga, kumponda mawe na hata kumchoma bila kumpa nafasi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Benki Kuu na taasisi za kibenki kuona namna ya kupunguza gharama kwenye huduma za kibenki za kidijiti ili...
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.
Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe...
Mimi ni Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa unaoitwa Muheza, tangu Mwaka 2020 sisi Wakazi wa huku tulilipishwa kiasi cha Shilingi 150,000 kwa ajii ya kupimiwa viwanja vyetu lakini hadi sasa Agosti...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa Serikali ya Mtaa ya Muheza pamoja na Halmashauri ziliwatoza Wananchi wa maeneo hayo kiasi cha Tsh. 150,000 kwa ajili ya kupimiwa ardhi kuanzia Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.