Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanikiwa tena kutwaa tuzo ya "Shirika Lililoboreshwa Zaidi" katika eneo la huduma kwa wateja. Tuzo hii imetolewa na Taasisi ya Chartered Institute of...
Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa...
KUHUSU UTAKATIFU WA ENEO LA MASHARIKI YA KATI.
Na
MUMBE MOMBEE
Singida, Tz.
+255 759770233
Feb. 5, 2024.
Duniani kuna maeneo makuu kumi na mbili(12) ambayo yana Nguvu maalumu ambayo hata...
Bara la Afrika litaendelea kuitwa Masikini, Shamba la bibi etc, mpaka pale litakapotunga na kutekeleza Sheria ya kunyonga Wahujumu uchumi
Bara la Afrika limekuwa likitupiwa lawama za kila aina...
Dear Men
Never be ashamed of the work that puts food on your table. A small salary is better than waiting for someone to give you money.Hunger has multiple offspring.
It keeps giving birth three...
Hellow wakuu
Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule...
Silasi Ndosi (38) mkazi wa Shangarai wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha amekutwa amefariki dunia, huku mwili wake ukiwa na majeraha ya mikwaruzo sehemu za kifuani na mgongoni.
Mbali na mikwaruzo...
Jana jumamosi saa 6 mchana Nilifanya muamala airtel money pesa ya kununua ticket ya kusafiria jana usiku kwenda kusheherekea Eid Mkoa fulani.
Airtel walikata hela ya nauli na ada yao ya huduma...
TRA,Tunajua mnatafuta Hela kwaajili ya maendeleo yetu,ila kumtumia mteja meseji za malipo ya VAT,mara SITA Kwa siku sio jambo zuri! Angalieni mifumo yenu,inakuwa kero Sasa.
Huzuni si hisia tu—bali ni kufunua, nafsi ambayo kitu fulani kiliishi ndani yake lakini sasa kimetoweka. Huzuni😪Inakuchonga, na kuacha maumivu mahali ambapo upendo uliishi.
Mwanzoni, unahisi...
Tutakuwa na maboresho ya miundombinu yatakayofanyika katika Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha umeme cha Ubungo ambayo yanaweza kuathiri upatikanaji wa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti...
Nikikumbuka mijadala ya Mwl Nyerere pale UDSM miaka Ile juu ya umajumui wa kiafrika na nikiangalia leo wasomi WA vyuo vikuu wanvyotumika kama chawa wa wanasiasa kupitishia agenda zao kwa faida yao...
Je ushawahi kutapeliwa, Kuibiwa au kudhurumiwa tuambie ulifanikiwa kulejesha, Hatua zipi ulizochokuwa au Ukasamehe.
Binafsi nilishawahi kuibiwa Piki Piki kipindi nipo Chuo kikuu, Nilimpa kijana...
Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro...
Mwisho wa zama
Kituo cha Anga za Juu cha Kimataifa (ISS) kinatarajiwa kuangamizwa ifikapo mwaka 2031. Kituo hiki kimekuwa msingi wa utafiti wa anga kwa zaidi ya miaka 25, kikihusisha mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.