Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari za Jumapili, Nimekaa na kutafakari sana juu ya Bara la Africa na watu wake, Nimegundua, asili yetu sisi africa ni kuishi kwa unyenyekevu na kumpa mgeni kipaumbele pengine kuliko hata sisi...
2 Reactions
2 Replies
313 Views
My quote : "You should not let random people access your anger,easily triggered man/woman is a weak man"~Lovelia de Valmorra Je unalinda hasira zako kama unavyolinda furaha yako? au wewe ni wale...
10 Reactions
131 Replies
3K Views
Habari za jioni! Kama kichwa kinavyoeleza, yaani ni mtu asiyefikiri sawasawa ambaye ataamini kuwa Israel hajui Mateka wake wapo wapi. Ninavyowaona Israel inajua kabisa Mateka walipo na haitaki...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Dar es Salaam, 28 Machi 2025 - Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu...
0 Reactions
3 Replies
425 Views
Tunapoelekea kama tutabaki nao milele na milele kuna siku tutaacha kuwa na kiatu na kuanza na nguo sasa.
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Habari zenu, Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu. Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Kwa mujibu wa Ripoti inayowasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mikoa ya Rukwa yenye majaribio 6,861 na Morogoro yenye...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema nchi ya Tanzania katika kipindi cha miaka 30 ya azimio la Beijing imefanikiwa kutekeleza malengo ya mkutano wa Beijing kwa mafanikio, ikiwemo...
7 Reactions
15 Replies
729 Views
Nimefanya tathimini ya miradi yote iliyofanywa na serikali ya awamu ya 6 nikapata gharama halisi ni 8.7 Tilioni. Hii inajumuisha miradi yote iliyosajiliwa chini ya tume ya mipango kwa wastani wa...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza...
5 Reactions
93 Replies
2K Views
Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti...
2 Reactions
5 Replies
325 Views
Nimekuwa nikitumia mtandao huo kidogo japo si mtandao pendwa kwangu ila nimekuja kugundua asilimia kuwa ya watumiaji kutoka Tanzania hawana uwezo wa kujenga hoja kule. Wengi vinywa vyo vimejaa...
4 Reactions
9 Replies
526 Views
Hallo wana JF!? Ulishawahi patwa na dharura ya kutaka kuchimba dawa pindi uwapo Bank unataka Ku deposit muamala wako!? Je! Kuna Bank yoyote iliyowahi kukupa hii huduma hata kama wewe ni VIP...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
KUSAMEHE NA KUTOLIPA KISASI NI KWA AJILI YA FAIDA YAKO BINAFSI ❤️🌹🍎 Kusamehewa walio tukosea ni jambo gumu sana, ila ni la muhimu sana pia. Ktk hii dunia lazima utakutana na watu wabaya ktk maisha...
1 Reactions
8 Replies
504 Views
Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada yakuitafuta album hii kwa muda mrefu, na watu wengi kuiulizia, nimefanikiwa kupata nyimbo zote Karibuni sana wahenga wenzangu Mbarikiwe..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! Nilipokuwa katika ziara ya Utalii wa ndani, nimekumbana na kero hii ya magugu maji ziwa NYANZA. Ziwa NYANZA lilikua ziwa la kuvutia sana. Wataalam wasema, haya magugu ziwa...
9 Reactions
75 Replies
6K Views
https://www.facebook.com/share/v/1F1SpzrHYG/
3 Reactions
11 Replies
654 Views
Jamani hawa wanao panga maeneo huwa vibari wanatoa kwa akili gani. Kuna mgahawa mpya umefunguliwa umetanganishwa na barabara ya magari upande wake kuna mwochwari. Ni sheria gani iliyompa kibari...
2 Reactions
9 Replies
446 Views
Back
Top Bottom