Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,710
Siku ya pili leo usingizi sipati, wataalum nipeni mbinu za kujinasua kutoka msongo wa mawazo
Fanya mszoezi sana..jioni kula kidogo pata glass ya red wine utapata usingiziSiku ya pili leo usingizi sipati, wataalum nipeni mbinu za kujinasua kutoka msongo wa mawazo
Asante kwa ushauri mkuu na kuhusu mazoezi inabidi nianze maana nilipumzika baada ya kuumia goti kwenye mpiraFanya mszoezi sana..jioni kula kidogo pata glass ya red wine utapata usingizi
OK fanya ambayo hayatahusisha sana kukunja miguuAsante kwa ushauri mkuu na kuhusu mazoezi inabidi nianze maana nilipumzika baada ya kuumia goti kwenye mpira
Sawa mkuu na Asante sana kaka mkubwaOK fanya ambayo hayatahusisha sana kukunja miguu
NakuombeaSawa mkuu na Asante sana kaka mkubwa
Umenena kweli maana hizi siku 3 nakula kidogo sana na sihisi njaa kabisaPole sana....
Nina uzoefu, jambo likikutatiza hasa la hofu, usingizi hauji. Sawa na kuswekwa mahabusu kwa mara ya kwanza pana giza mko wengi mbu halafu unahisi ukisinzia tuu unabakwa, nakwambia utakaa macho hadi kunakucha.
Kwenye amani usingizi huja bila shidq labda uwe kwenye maumivu ya ugonjwa.
Nje ya hayo yote, stress ya kazi, mahusiano, familia kwa maana ya ndugu au marafiki, majirani, stress ya kesi au madeni, stress ya uchumi wako binafsi vyote hivi hukukosesha amani ndo maana usingizi hauji. Na mara nyingi hata njaa husikii...
Tafuta amani hata kwa nusu saa tuu usingizi utakuja. Sawa na ukiwa kwenye dhiki halafu ukubali yaishe kama vile ulo katikati ya kilindi cha maji na hakuna matumaini ya kuoatq msaada pamoja na kujua kuogelea umechoka hata kuelea.... utapofanya maamuzi ya kuachilia liwalo na liwe, usingizi mzito utakupitia....
No wonder mtu akifa wengine husema, amelala usingizi mzito.
Ruhusu linalokusibu liwe limeshinda, liache litawale kubali kujiachia rudi chini, jiachie ruhusu amani usingizi ukija hata wa.masaa mawili... ukiamka hapo utapata suluhisho ya namna ya kutatua linalokusibu na utashangaa unasikia njaa sana.
Kila la kheri na utatuzi mwema wa linalokusibu.
NakuombeaSawa mkuu na Asante sana kaka mkubwa
Shukrani braza na inafikia kipindi nakua na mawazo mabaya kabisaNakuombea