Hapa ndipo nasemaga Mzazi unapaswa Kuwa na jicho la tatu hasa linapokuja suala la malezi.
Hizi tamthiria za Azam tv Kuna namna zinatuharibia watoto kwa baadae ,
ROHO YA UZINZI
Mtoto WA darasa la...
Ndoa na kuoa ni Gereza lenye ghiriba kubwa , ulaghai wa wazi, uchoyo wa wazi, ubinafsi wa wazi.
Mwanangu Debora tumekupa Ghorofa la Bahari Beach, Nyumba Madale, Kiwanja DSM na Dodoma.
Ndio...
WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha.
Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni...
Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele...
Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu...
Habari Wakuu
Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025.
Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana.
Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho...
Kuna mzee mmoja ameniambia wanyambo ni wayahudi nikashangaa na nimefuatilia nikakuta ni kweli! Cha kushangaza mbona hawafanani na wayahudi?
FromHistory of the Jews in Africa - Wikipedia...
Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho.
Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali...
Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we...
Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati na Mkoa wa Dodoma wamefika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Bi. Sigrada...
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile.
Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa.
Kuna mjadala kuhusu...
Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU.
alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake...
Naanza kwa sara ya UAFRIKA:
Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE.
Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA.
Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda...
Naitwa x,natokea mkoa x, kwanza kabla ya yoye nipende kuishukuru jamii forum, kiukweli mimi binafsi imenisaidia sana kupitia kuomba ushauri mbalimbali,
Najua kunabaadhi ya watu watanitukana...
Jamii za Tanzania, zina WATU wapumbavu Sana .
Nipo huku Tanga nimeenda kusalimia kwa jamaa yangu workmate ila ni aibu Sana
Mzazi anakaa sehemu chafu
Hamna maji
Anapikia kuni
Mbwembwe nyingi...
Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida.
Ikumbukwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.