Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATASHA walisema Maisha ni mipango hili ni sahihi kwa 100%, yawekana tumeshindwa kutoboa kwa kukosa mipango sahihi na kuwa na Nidhamu hafifu ya Fedha. Muda wa kustaafu kwa mtumishi wa umma ni...
4 Reactions
5 Replies
477 Views
Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele...
2 Reactions
0 Replies
309 Views
Kama hamkuwa mmejipanga bora mngeacha kwanza Siku 3 server ipo chini Siku 2 mtu hawezi kupokea OTP Mmeleta kero sana
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu...
0 Reactions
5 Replies
425 Views
Bajaji zitakusaidia kufika popote kwa haraka na gharama ndogo sana ukiwa Mwanza. Nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Habari Wakuu Mi Ni Mwalimu Ajira Mpya Serikalini 2025. Nimeingia tu naona Mshara wangu Kizibo Afu Mahitaji Yangu Ni mengi sana. Naomba Ushauri, Nijishugulishe na Kitu Gani Kingine Ambacho...
1 Reactions
0 Replies
169 Views
Kuna mzee mmoja ameniambia wanyambo ni wayahudi nikashangaa na nimefuatilia nikakuta ni kweli! Cha kushangaza mbona hawafanani na wayahudi? FromHistory of the Jews in Africa - Wikipedia...
4 Reactions
76 Replies
15K Views
Kwa elimu yangu ya darasa la saba nathibitisha kwamba uwezo wa kisayansi wa kuichunguza ile nguvu ya dunia ulifika mwisho. Pengine mawazo yao yalipingana kwa kitambo; Utafti wao unaibua maswali...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Nyakati ni ngumu na mambo ni mengi lakini tunashukuru Mungu hatuwazii kuchukua maamuzi magumu au ya hovyo kama kujiua, kuiba au kudhulumu lkn kiuhalisia nyakati ni ngumu, Only god knows what we...
7 Reactions
14 Replies
542 Views
Viongozi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Kati na Mkoa wa Dodoma wamefika katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kumjulia hali Mwenezi wa BAWACHA Taifa, Bi. Sigrada...
2 Reactions
11 Replies
913 Views
Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
8 Reactions
54 Replies
2K Views
Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile. Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa. Kuna mjadala kuhusu...
3 Reactions
4 Replies
374 Views
Yani over sudden unashangaa mara pap mtu amekuwa MAARUFU. alipotokea hatujui, alipopitia hatujui, ila mnakuwa overwhelmed na umaarufu wake unaokuwa engineered labda na urembo wake, pesa zake...
4 Reactions
12 Replies
655 Views
Naanza kwa sara ya UAFRIKA: Ee Mungu, Mikononi mwako naweka Roho za WAAFRIKA WOTE. Nakushuru Mungu kwa baraka zote ulizotujalia WAFRIKA. Ee Mungu wa majeshi,nakushuru kwa wema wako umetulinda...
1 Reactions
1 Replies
271 Views
Naitwa x,natokea mkoa x, kwanza kabla ya yoye nipende kuishukuru jamii forum, kiukweli mimi binafsi imenisaidia sana kupitia kuomba ushauri mbalimbali, Najua kunabaadhi ya watu watanitukana...
14 Reactions
85 Replies
6K Views
Jamii za Tanzania, zina WATU wapumbavu Sana . Nipo huku Tanga nimeenda kusalimia kwa jamaa yangu workmate ila ni aibu Sana Mzazi anakaa sehemu chafu Hamna maji Anapikia kuni Mbwembwe nyingi...
47 Reactions
185 Replies
6K Views
Hizi kaulimbiu/slogans zinazotolewa kwa English zinawafanya watanzania wawaone viongozi wa CHADEMA kama watu fulani wanaojifanya wasomi na waelewa wa mambo kuliko wananchi wa kawaida. Ikumbukwe...
1 Reactions
24 Replies
807 Views
Naona hivi karibuni, Kila kiongozi wa serikali au wa kidini anayesimama anasema vyama vya siasa vinapaswa kuilinda amani ya nchi. Lakini katika maelezo ya Kila mmoja kwa kina, utagundua...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Zab 123:3 SUV [3] Uturehemu, Ee BWANA, uturehemu sisi, Kwa maana tumeshiba dharau. Maombi haya katika Zaburi hii yanayoonyesha ni jinsi gani huyu ndugu alikuwa katika kipindi cha mateso na...
7 Reactions
5 Replies
472 Views
Back
Top Bottom