Siri nyingine ya kuishi maisha yenye maana ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda.
Lakini swali ni: unawezaje kujipenda?
Kujipenda siyo tu kutambua uwezo wako, mafanikio yako na mambo mazuri...
Kuna kauli tunaisikia sana:
“Maisha magumu humjenga mtu.”
Lakini kadri ninavyofikiria, naona hii si kweli kwa kila mtu.
Mtu mmoja akipitia ugumu anaweza kuwa imara zaidi, akajifunza...
Mvua ambazo zilitabiriwa kuanza kunyesha Oct 2026 tayari zimeanza Kwa maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam.
tulijaribu kuchangia tupate vifusi ili kuokoa mawasiliano ya Barabara ya mtaa wa Kigogo...
Hii ngoma ya dansi asee walio itunga walitisha .. binafsi kwangu itabaki kuwa ngoma Bora ya dansi .
Hili goma kwa mtu anayejua ilitoka mwaka gani naomba anijuze ... Maana ni kitambo sana nikiwa...
Habarini wakuu..
Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa...
Hellow wana JF.
Hii hali ya kuwaondoa machinga na watu wanao uza kwenye meza pale kariakoo bila kuwaelekeza wapi waende naona kama haijazingatia pande zote mbili(wananchi-serikali).
Nashauri...
Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja.
Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina...
Tanzania inaweka historia mpya katika diplomasia ya mabunge kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Arusha kuanzia 5–9 Oktoba 2026. Mkutano huo...
Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu.
Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha...
kuna ambae anajitaidi sana kukusogeza karibu yake ili badae akutoe kafara kwa ajiri ya kuendelea kurinda mafanikio yake. kwaiyo kama endapo utakua aupo makini sio mda mrefu sana unakwenda na maji...
Mimi kupokea simu za kawaida hasa namba ngeni
Yaani mtu ni bora anitext tu ila simu ikishapigwa na kuwa na wasiwasi sana
Sipendi kupokea simu kabisa naona text ni bora zaidi maana hazinipi...
YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA MATUMIZI YA LUGHA CHAFU KATIKA STENDI YA MWENDOKASI MBEZI YALIYOTOLEWA LEO JUMAMOSI YA TAR3 OCTOBER 2026 NA NABII MASHIMO
Ndugu viongozi na mamlaka husika,
Ninaomba...
Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Mkutano wake wa 301 limeidhinisha mabadiliko ya viwango vya kodi ya malazi katika mabweni na hosteli za wanafunzi, pamoja na gharama za huduma...
Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache.
Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio...
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company...
Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew...
Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote
Nitakaribisha na maswali pia
1. Tiba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.