Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna ambae anajitaidi sana kukusogeza karibu yake ili badae akutoe kafara kwa ajiri ya kuendelea kurinda mafanikio yake. kwaiyo kama endapo utakua aupo makini sio mda mrefu sana unakwenda na maji...
2 Reactions
6 Replies
112 Views
Mimi kupokea simu za kawaida hasa namba ngeni Yaani mtu ni bora anitext tu ila simu ikishapigwa na kuwa na wasiwasi sana Sipendi kupokea simu kabisa naona text ni bora zaidi maana hazinipi...
0 Reactions
5 Replies
187 Views
Anonymous
YAH: OMBI LA HATUA DHIDI YA MATUMIZI YA LUGHA CHAFU KATIKA STENDI YA MWENDOKASI MBEZI YALIYOTOLEWA LEO JUMAMOSI YA TAR3 OCTOBER 2026 NA NABII MASHIMO Ndugu viongozi na mamlaka husika, Ninaomba...
1 Reactions
6 Replies
161 Views
Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) katika Mkutano wake wa 301 limeidhinisha mabadiliko ya viwango vya kodi ya malazi katika mabweni na hosteli za wanafunzi, pamoja na gharama za huduma...
0 Reactions
4 Replies
182 Views
Mzazi amesomesha watoto wake wakiume ni wrngi wasichana wwchache. Familia zikiwa nq tabia eti kwa sabab amesomeshaz ndio Madume ya miaka 34 yajazane nyumbni kwangu? Ile kuja na kusalimia sio...
2 Reactions
1 Replies
88 Views
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Mliokuwa mkihoji kwanini alipendwa na kuabudiwa sana na Marais wenu haya ndiyo majibu yenu na tafadhalini muyaamini 100%
4 Reactions
0 Replies
97 Views
Wanawake naombeni mbadilike.
4 Reactions
15 Replies
164 Views
Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote Nitakaribisha na maswali pia 1. Tiba ya...
11 Reactions
28 Replies
975 Views
Anonymous
Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata...
2 Reactions
5 Replies
135 Views
Nilikua nimekaa zangu karume mchikichin pale sokon napiga mishe zangu za usabanga ghafla tu simu ikaita kumuangalia mpigaj ni mteja wangu mmoja hv wa kitaambo huyu jamaa nilishamuambiaga akipata...
2 Reactions
10 Replies
181 Views
Ni jambo la aibu kwa taasisi inayo heshimika kama hii Kutoa matokeo usiku afu asubuh waka yafuta wakati baadhi ya wanafunzi wameshaona . Hiki Kitendo kina leta maulizo, hofu na wasi wasi ikiwa...
5 Reactions
11 Replies
267 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na...
0 Reactions
2 Replies
73 Views
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa...
35 Reactions
357 Replies
99K Views
Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako...
8 Reactions
146 Replies
2K Views
Majuzi nilikuwa river side vikao vya harpsichord Yaan wachaga wameanza kuogopwaa aisee Toka mmoja huko kumtwanga mkewe watu wameanza kuogopa wachaga wenzetu Na wa arusha huko mjipange Soma...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
  • Redirect
AHSANTE NDUGU VODACOM KWA TAARIFA NZURI TUTAENDELEA KULINDA TAARIFA ZETU NA SISI WENYEWE PIA
0 Reactions
– Replies
– Views
• Ni katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa ulinzi wa faragha ulioandaliwa na PDPC Mkurugenzi wa sheria wa Vodacom Tanzania PLC Olaf Mumburi (wa pili kulia), akizungumza wakati wa mkutano wa...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Back
Top Bottom