Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natamani kujua utofauti wa mfanya biashara mwenye dgree na PHD na vyeti vyake anavyonufaika na biashara yake mwenyewe hasa kwa WATANZANIA WEUSI TU
1 Reactions
8 Replies
80 Views
Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza...
2 Reactions
5 Replies
91 Views
Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah Aameen...
16 Reactions
142 Replies
3K Views
Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar...
59 Reactions
183 Replies
2K Views
Hellow Great Thinker.... The LORD is good... Wakuu et nini tofauti ya maombi, dua na sala.... Prophet Daniel alikuwa anafanya Dua pia katika biblia... Na YESU alikuja akatufundisha jinsi ya...
3 Reactions
13 Replies
210 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia Ofisi za Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini, inaendesha Kliniki za Ardhi kuanzia tarehe 22 Septemba hadi 3 Oktoba 2026. Kupitia Kliniki...
1 Reactions
11 Replies
280 Views
Kwako Mheshimiwa waziri wa ardhi na makazi mfumo wa wizara yako unaopatikana kwa njia ya mtandao HAUKO SAWA ndiyo maana tumeshindwa kupata control number kwa ajili ya kulipia malipo ya umiliki wa...
0 Reactions
3 Replies
324 Views
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya...
1 Reactions
11 Replies
244 Views
Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi...
7 Reactions
26 Replies
584 Views
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na...
10 Reactions
73 Replies
1K Views
mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba...
8 Reactions
15 Replies
319 Views
Siri nyingine ya kuishi maisha yenye maana ni kumpenda jirani yako kama unavyojipenda. Lakini swali ni: unawezaje kujipenda? Kujipenda siyo tu kutambua uwezo wako, mafanikio yako na mambo mazuri...
3 Reactions
14 Replies
153 Views
Kuna kauli tunaisikia sana: “Maisha magumu humjenga mtu.” Lakini kadri ninavyofikiria, naona hii si kweli kwa kila mtu. Mtu mmoja akipitia ugumu anaweza kuwa imara zaidi, akajifunza...
1 Reactions
7 Replies
79 Views
Mvua ambazo zilitabiriwa kuanza kunyesha Oct 2026 tayari zimeanza Kwa maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam. tulijaribu kuchangia tupate vifusi ili kuokoa mawasiliano ya Barabara ya mtaa wa Kigogo...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Hii ngoma ya dansi asee walio itunga walitisha .. binafsi kwangu itabaki kuwa ngoma Bora ya dansi . Hili goma kwa mtu anayejua ilitoka mwaka gani naomba anijuze ... Maana ni kitambo sana nikiwa...
1 Reactions
2 Replies
95 Views
Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Hellow wana JF. Hii hali ya kuwaondoa machinga na watu wanao uza kwenye meza pale kariakoo bila kuwaelekeza wapi waende naona kama haijazingatia pande zote mbili(wananchi-serikali). Nashauri...
1 Reactions
2 Replies
73 Views
Binti raiyan ameir amour mwanafunzi shule ya kizimbani Zanzibar aliepotea tangu ijumaa apatikana akiwa amefariki huku akiwa amekatwa mkono mMoja. Mbunge wa Jimbo hilo ataka uchunguzi wa kina...
3 Reactions
39 Replies
529 Views
Tanzania inaweka historia mpya katika diplomasia ya mabunge kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Arusha kuanzia 5–9 Oktoba 2026. Mkutano huo...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha...
3 Reactions
18 Replies
168 Views
Back
Top Bottom