Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.
Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi...
3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari
Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro...
Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo.
Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya...
Wakuu, habari za muda huu.
Ni lini Jeshi la Polisi na mamlaka nyingine zinazohusika zitachukua hatua kuhusu hali ya malori yanayosafirisha mizigo kutoka bandarini kwenda bandari kavu, maarufu...
Habari za wakati huu, kuna mtu ninamtafuta, anaitwa John, ni mwenyeji wa Singida, mwaka 2006 alikuwa anafanya kazi ya upishi ktk moja ya migahawa/hoteli iliyoko Manzese-Tip Top.
Huyu mtu...
Wasalam wakuu.
Haya ni Maoni yangu Kwa Mh Dr Gwajima
Mh Dr Gwajima Kuna mahala unafeli sana linapkuja swala la manaume kuchukua maamzi magumu.
Ninachoamini Mimi ..kitendo Cha mwanaume kumuoa...
Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue...
Member mwamba and 998 others alipo anajuta kwa nini aliposti hule uzi wake wa kuzamia SGR business class kwa nauli ya Morogoro kwenda Dodoma.
Kwa mshangao hakuamini members walivyomshukia kama...
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini...
nimekuta post ya inayopinga chuki kwa wakristo, katika kupitia comment nimekutana na hii shuhuda
Nakumbuka utotoni kule kijijini jirani yetu mkristo zikifika sikukuu zao wanatuletea wali na nyama...
Wakuu kwema?
Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa...
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kutokana na uzoefu wangu wa kwenda sehemu mbalimbali za ibada.
Nimewahi kwenda kwenye kanisa la kawaida kabisa la Katoliki, nikashangaa kuona sadaka/changizo...
Kifo — sote tutakufa.
Kufilisika — unaweza kuanza tena na kujenga kila kitu upya.
Aibu — watu watazungumza leo, kesho watahamia kwenye maisha yao.
Kukataliwa — hakuna binadamu anayekubalika na...
Death: we're all gonna die.
Bankruptcy: you can make it all back.
Shame: everyone will forget in a week.
Rejection: it happens to everyone.
Failure: it's part of the path.
Judgment: they judge...
Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa...
Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb...
WanaJamvi muhali gani...!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.