Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kifo — sote tutakufa. Kufilisika — unaweza kuanza tena na kujenga kila kitu upya. Aibu — watu watazungumza leo, kesho watahamia kwenye maisha yao. Kukataliwa — hakuna binadamu anayekubalika na...
2 Reactions
3 Replies
82 Views
Death: we're all gonna die. Bankruptcy: you can make it all back. Shame: everyone will forget in a week. Rejection: it happens to everyone. Failure: it's part of the path. Judgment: they judge...
4 Reactions
3 Replies
194 Views
Anonymous
Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Hapo jana, kiongozi wa PLC, Rashad al-Alimi ametangaza operation ya kuwakabili wapiganaji wa Houthis ndani ya Yemeni. Hivi karibuni Houthis walifanikiwa kuteka sehemu ya mfereji wa Bab al-Mandeb...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
WanaJamvi muhali gani...! Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
63 Views
Kwenye kitabu cha Mungu (Biblia) ukisoma Mathayo 11:28-30 imeeleza namna Mwenyezi Mungu alivyoelekeza wote wenye makandokando na mizigo waje kwake ili awapumzushe, kwa maana ya kuwaokoa Sasa...
2 Reactions
18 Replies
225 Views
Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja? Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari. Kosa...
21 Reactions
64 Replies
1K Views
Chivayo itakuwa alikuwa ni fixer (kishoka) na dalali wa watawala, matajiri na watu wakubwa maarufu Africa. Ipo siku deals alizokuwa anafanya na watawala zitakuja kufumuka na kuwa wazi hadharani...
10 Reactions
16 Replies
384 Views
Matukio ya watu kuuana kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi , kuweni makini na watu mnaoingia nao penzini wengine wana matatizo ya afya ya akili.
0 Reactions
2 Replies
60 Views
Natamani kujua utofauti wa mfanya biashara mwenye dgree na PHD na vyeti vyake anavyonufaika na biashara yake mwenyewe hasa kwa WATANZANIA WEUSI TU
1 Reactions
8 Replies
80 Views
Kuna uongo ambao tumelishwa kwa miaka mingi kwamba dini zinaleta amani na upendo tu. Ukweli wa kihistoria na wa kimaandiko uko wazi: Dini nyingi zimejengwa juu ya mfumo wa kubagua watu, kueneza...
2 Reactions
5 Replies
90 Views
Inna lillahi wa Inna ilayhi rajioon May Allah Ta’ala grant her and all marhoomeen total Maghfirah and Jannatul Firdaus May Allah Ta’ala grant all the bereaved Sabrun Jameel and Aafiyah Aameen...
16 Reactions
142 Replies
3K Views
Wakuu, niaje? Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa: Mrejesho wa Safari yangu ya Dar...
59 Reactions
183 Replies
2K Views
Hellow Great Thinker.... The LORD is good... Wakuu et nini tofauti ya maombi, dua na sala.... Prophet Daniel alikuwa anafanya Dua pia katika biblia... Na YESU alikuja akatufundisha jinsi ya...
3 Reactions
13 Replies
207 Views
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kupitia Ofisi za Makamishna wa Ardhi Wasaidizi nchini, inaendesha Kliniki za Ardhi kuanzia tarehe 22 Septemba hadi 3 Oktoba 2026. Kupitia Kliniki...
1 Reactions
11 Replies
280 Views
Kwako Mheshimiwa waziri wa ardhi na makazi mfumo wa wizara yako unaopatikana kwa njia ya mtandao HAUKO SAWA ndiyo maana tumeshindwa kupata control number kwa ajili ya kulipia malipo ya umiliki wa...
0 Reactions
3 Replies
324 Views
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya...
1 Reactions
11 Replies
243 Views
Kuna mazingira unakuwa unashida au huwezi pata huduma labda ya kuweka hela kwenye simu wakati huo unauhitaji labda wa kumunua units (LUKU) hadi unalazimika kulala giza au kushindwa kufanya kazi...
7 Reactions
26 Replies
583 Views
Wakuu kwa jicho la tatu narudia Tena kwenye jicho la tatu Kuna possibility chivayo hajafariki katika ajari ile Ila ametengeneza tukio ili sushi kwa huru zaidi kwa maana hivi karibuni alikuwa na...
10 Reactions
73 Replies
1K Views
mimi ni mkristo nishaamuaga sifanyi maombi yoyote sijui kuombea taifa sijui kuombea mambo mbalimbali mara kulia sijui kunena kwa lugha sijui kusali rozali mimi huwa nasali sala moja tu..ya baba...
8 Reactions
15 Replies
319 Views
Back
Top Bottom