mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,391
- 21,333
Hii ngoma ya dansi asee walio itunga walitisha .. binafsi kwangu itabaki kuwa ngoma Bora ya dansi .
Hili goma kwa mtu anayejua ilitoka mwaka gani naomba anijuze ... Maana ni kitambo sana nikiwa kid nimeisikia redioni.
View: https://youtu.be/iqTgo8AI7OQ?si=D3k9s4A_AZvggG5L