Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa nini msipime upya hilo gari ili huyo Mama dereva ajiridhishe! Rushwa ya ngono haiombwi hivyo jaribuni siku nyingine!
23 Reactions
147 Replies
7K Views
Kama ulikua hujui kuwa sio kila mtu wa hospitali anajua KUCHOMA SINDANO wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa kila mtu anaefanya kazi hospitali, Au aliesomea mambo ya afya basi...
4 Reactions
6 Replies
818 Views
Kuna stori ina trend sana mtandaoni kuhusu kupotea kwa Gari aina ya Range Rover toka uingereza na kuonekana Tanzania!. Kuna mzungu mmoja anaitwa Jimmy Munday anasema miezi kadhaa iliyopita gari...
2 Reactions
7 Replies
700 Views
Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbulu Vijijini (CCM) Flatei Massay amehoji kwa nini Serikali haiwaajiri wahitimu wenye Diploma kuwa Watendaji wa Vijiji. Akiuliza swali leo Mei 22,2025 bungeni Dodoma Mbunge huyo...
1 Reactions
6 Replies
704 Views
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini. Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo. HUWEZI...
27 Reactions
139 Replies
8K Views
Habari wadau, Naomba kuuliza kama ukimkata nyoka mkia ataendela kuishi. Leo baada ya mihangaiko yangu nimerudi nyumbani mapema nikaona ni vyema nishughulikie bustani yangu ya matunda na mboga...
12 Reactions
75 Replies
3K Views
Jaman wapendwa wangu, naomba msaada wenu. Nimejaribu kuingia tweeter a.k.a X lakini nashindwa jamani. Nataka nifuatilie habari za nchi yetu na mambo mengine.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Kama kuchanganyikiwa kuwa viswaswadu vinaweka kimawazo simu za tochi zinaweza kuingia VPN zile simu za wakala vitochi. Wamefunga mtandao X ila wao ndio wanatoa habari serikalini kuwa nchi mtandao...
1 Reactions
0 Replies
284 Views
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Akaro akizungumza katika semina ya Waandishi wa habari iliyofanyika tarehe 20 Mei 2025 katika ofisi za Benki Kuu jijini Dar es...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Hii wiki wakenya wameandamana na kutishia vurugu baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na wengine kufukuzwa Tanzania hivi majuzi kwa sababu ya kutaka kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu. Baada...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ningependa kufungua mjadala kuhusu jambo ambalo nimelisoma kwenye vitabu na pengine kuna baadhi yenu mna uzoefu nalo. Uhusiano kati ya kukosekana haki katika jamii (injustice) na ukandamizaji...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Kila taifa lina tabia na tamaduni zake zinazostahili kuenziwa hata kwa mtutu wa bunduki. Wakenya wanatabia na tamaduni za kianzisha fujo na chokochoko nchini kwao na wakaangaliwa tu na serikali...
4 Reactions
13 Replies
534 Views
Katika siku za Nyumba, nilikua na Rafiki yangu kipenzi sana, Ambae yeye Wala hakua na urafiki wa kweli kwangu. Baada muda kupita alipata maradhi ambayo yalihitaji kufanyiwa upasuaji na malipo...
3 Reactions
4 Replies
422 Views
Wengi tumeshawahi kuona Teknolojia ya solar panel ( Nishati ya jua) inavyofanya kazi maeneo mbalimbali ambapo hutumika kuzalisha Umeme wa jua. Je zinaweza kufanya kazi mda wote hata kama Kuna...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto…...
2 Reactions
5 Replies
588 Views
Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote...
11 Reactions
33 Replies
7K Views
1. Uwakala wa miamala ya simu. 2.Usajili line za mitandao ya simu. Sio biashara tena hizi.
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom