Wakati mwingine inawezekana umasikini wako ni matokeo ya Babu yako kula kona wakati wa zoezi la kukamata watumwa waende wakafanye kazi marekani
Babu yako alijificha porini milimani, inawezekana...
Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi"...
Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios.
Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone.
Hii nchi bwana
Mjadala unaweza...
Katika jitihada za bara la Afrika kuongeza upatikanaji wa intaneti kwa wote, kuondoa tofauti ya matumizi kati ya mijini na vijijini, pamoja na kuimarisha usalama wa mtandao wadau zaidi ya 1,200...
Mit 17:13 SUV
[13] Yeye arudishaye mabaya badala ya mema, Mabaya hayataondoka nyumbani mwake.
Siku za leo sio ajabu kumkuta mtu ambaye alitendewa mema mengi na mtu mwingine, mtu yuleyule...
ILIKUWEPO NCCR, IKAWEPO CUF, ILA CHADEMA NI TOFAUTI.
Sehemu ya 1
Mwaka 1995, sisi watoto wa enzi hizo tulikuwa na kawimbo flani hivi, tunaimba;
'Mkapaaa, Mkapa ana kikwapa'
'Mremaaaa, Mrema ana...
Hiki kikundi hakuna serikali kiliwahi kushindana nacho na kipo dunia nzima na kama mnataka kujibizana nacho subirini wafute mifumo yote ndio mkawe na akili sawa.
Historia:
Anonymous ni kundi...
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake??
Watoto wengi...
Niishauri serikali yangu ya Jamhuri.
Changamoto huwa zipo, na tunakiri kabisa kwa sasa kuna changamoto kubwa ya usafiri kwa wakazi wa Kimara-Mbezi kutokea mjini Posta na Kariakoo.
Serikali...
Je, umewai kuuziwa bidhaa feki au bandia kwa bei ya bidhaa halisi? Uchunguzi uliofanywa na 'wazalendo' umebaini kuongezeka kwa bidhaa feki sokoni ambazo zinauzwa kwa bei sawa na zile halisi jambo...
Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe lililopo mkoani Kigoma Dkt. Florence Samizi ameishauri Serikali kuvipatia fedha za ruzuku kwa wakati viwanda vya mbolea ili mbolea ifike kwa wakulima ikiwa tayari ina...
Habari wana jf
Awali ya yote nipongeze jukwaa hili kwa kuendelea kutoa elimu katika maswala mbalimbali
Pili, kuna mikopo inayotolewa na kampuni mbalimbali za mikopo mitandaoni na kimsingi mikopo...
Bro, let’s keep it real – haya mambo yamefika pabaya. Sio stori mpya tena, ni daily routine kwenye shule nyingi za sekondari. Hawa ma-teacher wa siku hizi, especially wale fresh kutoka college...
Mbunge wa jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amewataka wazazi na walezi katika halmashauri hiyo kuwasaidia watoto kuhitimu elimu ya juu ili kuwatengenezea fursa bora ya maisha ya...
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.