Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam Wakuu, Ule mtaro uliokuwa umeziba maji wazibua, maji yalikuwa yametuama na kusababisha kero kubwa yameweza kwenda. Hii isiishie hapo. Barabara ya eneo hilo itengenezwe, na njia za mitaani...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
1. Hoja ya Yesu si Mungu kwa sababu alilala (Marko 4:38): Andiko hili linaonyesha ubinadamu wa Yesu — alikuwa na mwili wa kibinadamu, alichoka na akahitaji usingizi. Mungu wa kweli hawezi kulala...
0 Reactions
3 Replies
210 Views
Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
291 Views
Anonymous
Najiuliza hawa DDC wanapata wapi uharali wa kupima viwanja maeneo ya Mbopo, Mabwepande na Tegeta A. Nadhani sheria za ardhi zinakiukwa na naona kuna mgogoro mkubwa unakuja huko mbeleni. Wizara ya...
1 Reactions
2 Replies
799 Views
Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Aisee nimepita Veta mtwara kumsalimia my young sister. Story nilizo Kuta hapo kuhusu vibinti vya hapo ni hatari sana aisee.. Vibinti vidogo lakini vina mambo makubwa. Bora hata Veta Lindi...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Taasisi ya Saratani Ocean Road, leo Mei 22, 2025 imepata ugeni wa kutembelewa na Dkt. Idrissa Traoré ambae ni mratibu wa Kitaifa wa Mpango wa Afya wa Rais wa Burkina Faso pamoja na ujumbe wake...
1 Reactions
9 Replies
686 Views
Na Murugesh Madkannu, BBC Tamil CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Nilipokuwa mtoto, kulikuwa na miti na vichaka vingi kuzunguka nyumba yetu. Jioni moja kulitokea tukio. Umeme ulikatika wakati...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Kampuni ya ulinzi Bond security Arusha imefunga mageti yote ya Hospitali ya Selian Jijini Arusha na kuondoka. Kampuni hiyo ilifanya hivyo kwa kudai malimbikizo ya...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Katika jamii yoyote inayojitambua, wakili ni zaidi ya mtaalamu wa sheria—ni mhimili wa maadili, sauti ya wanyonge, na mlinzi wa utu. Lakini leo, mbele yetu amesimama kiumbe mpya: wakili msomi...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Na Astrosecrets Tz +255 672 803 722 Tulipozaliwa, hatukupewa nafasi ya kuchagua mazingira yetu. Tulijikuta tayari mikononi mwa wazazi au walezi, ndani ya jamii yenye mila, imani, na mfumo wake...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Nini Maana ya Kila Silaha Itakayofanyika Juu Yako Haitafanikiwa Neno la Mungu Katika Isaya 54:17, Neno la Mungu linasema, “kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa, na kila ulimi...
3 Reactions
5 Replies
808 Views
Habari wakuu wait and prove me wrong TOP SECRET | LEVEL OMEGA CLEARANCE] 1. Mei 5, 2025 – “Blackout Test” ya kidunia (Mitandao na Umeme) Mpangaji: World Economic Forum + AI Central Intelligence...
1 Reactions
12 Replies
814 Views
Huyu mtoto angekunjwa hapo na mama yake watetezi wangeingilia kati kuwa mama anatesa mtoto Enzi zetu unapigwa na mwiko unakuvunjikia unataka kukimbia unakoswa koswa na sahani ya udongo na...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Serikali imewekeza Fedha nyingi saana ambazo ni kodi zetu sisi walala hoi kwenye ujenzi wa Stand hii ya Nyegezi lakini leo nimesikitika kukuta chooni hakuna maji na ni kwazaidi ya miezi Sita(6)...
0 Reactions
4 Replies
388 Views
Kijana wa "KISUKUMA" age 17, anamiliki ng'ombe 300, ekali 20 na mke mmoja, watoto watatu..!!! Kijana wa "DAR" age 23, anamiliki raba jozi 15, mademu 6, watatu kawachomoa mimba,hana mtoto hata...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom