Boutique1. Uwakala wa miamala ya simu.
2.Usajili line za mitandao ya simu.
Sio biashara tena hizi.
Usajili holela ndio kichaka cha namba zinazo fanya utapeli1. Uwakala wa miamala ya simu.
2.Usajili line za mitandao ya simu.
Sio biashara tena hizi.
Hii kuna sehem nimeiona,jamaa kajenga nyumba nje ya mji haijaisha vzur kaanzisha kanisa hapo na turubai kafunga na mabango ya kutambulisha mahali hapoBiashara ya makanisaa imekuwa ,now mtu anafungua kanisa Hadi nyumbani kwakee anapigaa helaa Kwa wajinga wakee ,alafu fresh tuu
Biasharaa imeshavamiwaaa maana Ina helaa nyingii sanaa ukoo mkuu wanguu,acha wajinga waendelee kuliwaaHii kuna sehem nimeiona,jamaa kajenga nyumba nje ya mji haijaisha vzur kaanzisha kanisa hapo na turubai kafunga na mabango ya kutambulisha mahali hapo
Sio roho mbaya. Yan ukweli sera zetu za inchi na serikali ni hovyo kaaa mwenyew fikilia biashara gani utaifanya kwa mtaji mdogo ikakupa faraja na ww unajishughurisha Kwamba utapata ata tuvihela twa kusogeza siku. Hamna zaidi ya bodaboda, mpesa , kigenge na kiduka Cha mahitaji madogomadogo. Sekta zingine ka kilimo, viwanda vidogo vidogo na madini zimelemazwa kwa sera mbovu nivigumu kujishughurisha nazo kwa mitaji midogo.Ulitaka ufanye peke ako ,hizi ni dalili za Roho mbaya
Sasa Nime kuelewa,Sio roho mbaya. Yan ukweli sera zetu za inchi na serikali ni hovyo kaaa mwenyew fikilia biashara gani utaifanya kwa mtaji mdogo ikakupa faraja na ww unajishughurisha Kwamba utapata ata tuvihela twa kusogeza siku. Hamna zaidi ya bodaboda, mpesa , kigenge na kiduka Cha mahitaji madogomadogo. Sekta zingine ka kilimo, viwanda vidogo vidogo na madini zimelemazwa kwa sera mbovu nivigumu kujishughurisha nazo kwa mitaji midogo.
mwanachama hai au sioHata supu ya pweza na utumbo nako kumevamiwa!!
Daa!!! Umenikumbusha Terminal 21 shopping Mall, Bangkok hiyo kakaSasa hivi naona Tanzania imekuwa nchi ya fremu za biashara .
Leo nimekwenda kariakoo majengo yote yanajengwa vifrem. Unakuta mtu ana kifrem chake chembachemba anauza zake chupi fresh maisha yanaenda analipa kodi anafanya mambo yake.
Kuna nchi za Asia Kuna mitaa ina mashopping malls tupu unatoka kwenye shopping mall moja unaingia jengine hapo tena unakodi gari kwenda kwenye shopping mall inayofuata jinsi yalivyokuwa yamechukua nafasi Kubwa.
Mimi pale kkoo sijaona shopping mall ni majengo tu ya ghorofa yamebananishwa chini kuna fremu juu appartment au hotel.
Mlimani City yenyewe ile huwezi ita ni shopping mall ila atilist panaelewekaeleweka
DDC pale napo wanajenga frem tupu, mtaani huku ndio usiseme watu hadi wanataka kuzibia majirani njia kwa kujenga frem.
Eti hadi JWTZ nao wanafanya biashara ya frem.
Kuna kipindi Dodoma halmashauri ilipiga marufuku ujenzi wa frem manake waliona zimezidi sana.
Tubadili mtazamo tungetakiwa kama kule kkko kuwe na mashopping mall ziwe na kila kitu.
Yaani nchi inakuwa ya mafrem tu hata kama hatuproduce sana tufikirie kiupana kidogo kko imeharibuwa sana na mafrem wajukuu zetu watapata shida sana kuibadili ile kko manake wengi watakuwa na maexposure ya nje ule uchafu wa pale kko watakuwa wanashangaa hawa wazee walifanya nini
Yaani kabisa mfano wafanyabiashara wengi wana hela ila hawana washauri au hawataki kusikia ushahuri.Sasa Nime kuelewa,
Tatizo kubwa ni kama nchi iko locked kimawazo ivyo hamna fursa za mawazo mapya na hata yakiwepo hakuna support ya kufanya wazo liwe reality , ivyo watu wana tumia mawazo yaliyopo tayari
Hii Nchi imekwama tena kwenye tope baya la mfinyazi ,Daa!!! Umenikumbusha Terminal 21 shopping Mall, Bangkok hiyo kaka