Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzazi Mpendwa, Hebu Tufanye Mazungumzo. Siyo kila mtoto atakuwa daktari. Siyo kila mtoto atapenda hesabu. Siyo kila mtoto atang'ara darasani. Lakini kila mtoto amebeba kitu ambacho Mungu...
5 Reactions
4 Replies
368 Views
Siku hizi maisha yamekuwa kama mashindano ya marathon – unakimbia tu bila pumziko. Mara unakuta kila siku umeamka mapema, unakimbizana na muda, ukirudi nyumbani usiku umechoka, na wakati mwingine...
16 Reactions
70 Replies
4K Views
Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ...
0 Reactions
11 Replies
677 Views
Barabara ya Maili moja(Loliondo) mpaka Lumumba kwa mazengo haipitiki na kizungumkuti. Kwa miaka mingi sasa barabara hii haipitiki licha ya kuongezeka sana kwa wananchi wanaotumia njia hii kwenda...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii. Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
JKT imetengezwa kama livyo tengezwa uganda. Vita vya Kagera kuna vitabu vingi na mambo mengi ambayo yalifichwa sana. Ila Uganda kulibeba ukabira mpaka ukafikia sasa kudai udini. Mimi sio mzuri...
2 Reactions
7 Replies
519 Views
My Take Tanzania inaendelea kuwa Mwalimu,darasa na kioo wa Nchi za Afrika kwenye mbalimbali kuja kujifunza. --- TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI) imetembelewa na Mratibu wa Kitaifa wa Mpango...
1 Reactions
17 Replies
657 Views
Wakuu habari, Naomba tupeane uzoefu wa njia za asili za kuzuia nyoka wasiingie shambani kwako au nyumbani kwako, nafahamu kuna baadhi ya wanyama wanakula nyoka lakini hawawezi kuzuia nyoka...
5 Reactions
144 Replies
45K Views
Kama umefunga CCTV majumbani na kwengine muwe mnapitia rekodi mtakuja kugundua mengi sana. CCTV inauwezo gani wa kujua mpaka muriro kapita.
5 Reactions
9 Replies
752 Views
Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika...
13 Reactions
371 Replies
20K Views
Habari wakuu Hii hali imejitokeza baada ya kuanza kufanya tahajudi,sijajua inamaana gani ktk mabadiliko ya mwili. Ufafanuzi tafadhali
2 Reactions
6 Replies
647 Views
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Swali : Kwanini watu wengi bado wanaamini wachawi? Jibu kutoka chat GPT Watu wengi bado wanaamini wachawi kwa sababu ya sababu za kitamaduni, kisaikolojia, na kijamii. Hapa kuna maelezo ya kina...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
#USIOGOPE ALAMA – HOFU IMEPANDIKIZWA! Katika dunia ya leo, watu wamefundishwa kuogopa alama fulani—jicho moja, pembetatu, nyota ya pembe tano, au hata piramidi—kwa kuambiwa ni za kishetani au za...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Lakini pia kuna wakati wa kupata💪🏿👌🏿
1 Reactions
7 Replies
399 Views
Baadhi ya Bodaboda wa Bongo ni miyeyusho sana. Ukiwa katika pitapita zako karibu na kituo chao,ukiinua kichwa kutazama upande wao, bam! ,Wamewasha pikipiki zao zote,chapu kukufuata, kabla hata...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Tukirudi nyuma Israel ilifunga anga hadi marekani akatengeneza bandari ya mda ili kufikisha msaada gaza. Leo hii mchina kapeleka msaada tena kupitia anga na jets za kivita kwa rada na mifumo ya...
1 Reactions
8 Replies
593 Views
Back
Top Bottom