Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu:
Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu...
Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia...
Pengine Sio Tone nzuri ya kubembeleza lakini kwa jambo hili naamini nilikuwa sahihi!
Haiwezekani tusifiane Wafanyabiashara wengi ni Waislaam kisha Maimamu wengi wanaotuswalishia Miskiti yetu na...
Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya...
Nimeona niulize kupita ukurasa huu ni kitu gani hasa kinachosababisha mimba kutoka
Mods najua hii mada hii sio sehemu yake naomba muiache kwanza watu waelimike mtakuja kuhamishia kule baadae
Kama ambavyo mwili wa nyama unaweza kuchafuka kwa uchafu wa kimwili, vivyo hivyo nafsi ya mwanadamu huweza kuchafuka au kuingia kwenye majaribu makubwa kutokana na mizunguko ya sayari katika...
Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo...
Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube.
1...
Wakuu huu ni ubashiri tu, muutunze huu uzi.
Hatuna miaka mingi kabla hatujafika hapo.
Michango imekuwa mingi mno.
Inabadilishwa majina tu.
Mingi haipo hata kwenye maandiko.
Tunakoelekea...
Ikiwa imepita miezi minne tokea Mwanachama wa JamiiForums.com adai kwamba kuna ujenzi holela wa 'Night Club & Bar' ambapo alidai sehemu ya miundombinu yake imejengwa kwenye eneo la Hifadhi ya Mto...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa...
Juzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol
.
Hii bank account imetengenezwa special kwa...
Uliyekutana naye asubuhi unaweza kutana naye jioni akiwa ni BOSS wako sasa inategemea mlivyokutana ulimchukuliaje 😊
Hayo sio maajabu ni uhalisia uliopo kuwa kila siku huja na ukuu wa mtu fulani...
"Miaka ya 4500 kabla ya Kristo, wakati jamii zilipoanza kuelimika, askari walijitolea kwa moyo wa dhati kuilinda jamii dhidi ya watu wabaya. Walikuwa ngao ya wanyonge, walinzi wa haki na utulivu...
Hii ndio hali ya Barabara ya Tabata - Kimanga kutokea Tabata Bima, barabara imeharibika sana hasa kutokea Chama mpaka Mawenzi.
Gari nyingi zinaharibika kila siku na wakati mwingine hasa wakati...
habari wadau.
naombeni mnijibu kwa nini leo hii wachungaji kanisani wanafata mistari ya biblia ya agano la kale kukusanya sadaka za fungu la kumi kwa waumini wao, na wanasisitiza ni sheria ya...
Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao.
Mara nyingi zimetokea ajali za...
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.