Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WATANZANIA WENGI WANATATIZO LA UELEWA NA UFAHAMU(UPEO MDOGO). HII INAWAPA MWANYA WAJANJA KUWATAPELI KIRAHISI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna Jambo rahisi kama kuwapotosha Watañzania...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu...
32 Reactions
76 Replies
7K Views
Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November...
57 Reactions
120 Replies
10K Views
Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu...
40 Reactions
85 Replies
8K Views
Nlikuwa Paris Ufaransa kwenye Mkutano wa the smartest young people of the World. Nilipitia hapo nikitokea Berlin Ujeruman ambako nlienda msalimia rafiki yangu mmoja wa Kitambo ambaye alikuwa...
30 Reactions
61 Replies
4K Views
Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga...
18 Reactions
28 Replies
2K Views
Mtoto ananiambia shuleni wanadai 300 ya usafi kwa mwezi. Darasani wako wanalipa shule nzima sasa hii hela kwa shule nzima jamani Darasa lao lina wanafunzi 350, darasa la tano kuna darasa la saba...
16 Reactions
251 Replies
8K Views
Nakumbuka siku hiyo nikiwa na miaka kama 12 hivi tukiwa Marekani mimi na familia yangu. Siku ilianza tu vibaya nikawa nimeamshwa na dada wa kazi saa 12:45 badala ya saa 1:00 (saa moja kamili)...
37 Reactions
55 Replies
4K Views
Huwa najiuliza inakuaje kuna muda mvua inanyesha ndogo tu ambayo huitaji hata muavuli (rasha rasha) Lakini muda mwingine hunyesha kubwa sana..kiasi kwamba mpaka mafuriko au kelele nyingi sana juu...
10 Reactions
62 Replies
9K Views
Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona...
30 Reactions
82 Replies
4K Views
Ukiangalia comments za watu wengi waliotoa maoni kwenye hotuba ya Dr. Josephath Gwajima aliyoitoa Jana, utagundua kuwa asilimia kubwa sana wanamuunga mkono na kumpongeza kwa sababu ya aliyoyasema...
1 Reactions
3 Replies
285 Views
Nimefika hospitali 1 ya serikali nilimtembekea rafiki yangu ( wa kike) aliyefika kujifungua nimesikita mno Wodi imejaa wajawazito na vichanga Wajawazito wanalala chini, vitandani wanalala hadi...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za...
8 Reactions
114 Replies
7K Views
Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu...
3 Reactions
3 Replies
580 Views
♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza...
5 Reactions
4 Replies
383 Views
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
13 Reactions
74 Replies
4K Views
Leo Nilikosa Kazi Nikaamua Na Mimi Nisome Status Za Kila Namba Nilio Nayo Whatsaap Yaani Kuna rafiki zangu wa WhatsApp wana nichekesha sana na status zao najua haya nihusu ila nasema tuu;. Mtu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kuna vitu viwili hua tunavichanganya sana DHARAU na JEURI. DHARAU ni kitu chepesi sana dharau anakua nayo mtu yeyote,...ndio maana Wanyakusya hua mnasema wandharau 😁..hakuna Mnyakusya Jeuri au...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika nusu ya pili ya karne ya ishirini huko Marekani na nchi nyingine za magharibi kulichomoza mwendo wa neofeminism, yaani "nafasi sawa". Kwa leo hali sawa za wanawake na wanaume zimetangazwa...
1 Reactions
1 Replies
340 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…