Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Habari JamiiForums, naleta kwenu malalamiko yangu labda wakiyaona kutokea hapa ni Mimi ni mpiga picha, nimejiajiri kwenye kizi hii na ndio inayoniingizia kipato. Sasa nilikuwa nimeweka camera...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Ni aibu jinsi hii hospitali ilivyo chafu,vyoo hapo pembeni ya mortuary ni vichafu, vibovu, vimevunjika, kuta chafu sana. Haya hapo mbele ya mortuary umerundikwa uchafu, chupa, sindano...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Watumishi wanne waliokuwa wajumbe wa Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameagwa rasmi baada ya kupangiwa majukumu na Serikali katika taasisi nyingine za Umma...
1 Reactions
2 Replies
512 Views
# Wizara imeandaa programu maalum ya uendelezaji upya maeneo yaliyochakaa katika miji mbalimbali nchini. Programu hii itasaidia kuboresha huduma za msingi katika maeneo hayo na hivyo kuyawezesha...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Kama kuna ukweli ambao dunia ingekuwa wanadamu wamezidi kuishi mwaka bilioni 1 moja tu ambayo wameishi wanyama na wengine wamekosa basi tungekuwa na mambo mengi. Siwezi kukubari kuwa mwanadamu...
0 Reactions
2 Replies
299 Views
"Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Mnamo tarehe 16 Mei 2025, Jiji la Tanga limeandika historia kwa kuzindua miradi minne mikubwa ya maendeleo ya vijana chini ya Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili. Uzinduzi huu umefanyika katika...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa...
3 Reactions
8 Replies
654 Views
Juzi niliandika Uzi hapa kuwataka CHADEMA kurudisha panga alani ili ijipange kiofisi Mara baada ya wapinzani wao kutumia nguvu haramu za kijambazi kuwadhulumu. Sasa naomba mje na mkakati mzuri wa...
4 Reactions
4 Replies
321 Views
Nifanyeje niweze kudownload VPN kwenye desktop computer
0 Reactions
1 Replies
256 Views
Hii mada sitaki kuunganishwa mods wa JF. Mnapenda kuhamisha mada ili kukosa nguvu ya ukweli. Wanayofanya serikali ya Tanzania kupitia CCM ni kama akili za watu wenye upeo mdogo sana. Wanafanya...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo nafatilia historia ya mtwala wa uganda ambayo kikosi chake kilikuwa kabira lake na alijaza watu wake. Ilipofikia kupinduliwa na jeshi la Tanzania walipofika kijijini kwao wote walikimbia na...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Professionalism bongo imekuwa a joke nowdays! Hatujali unashoboka au kujianika kwa namna na kiasi gani, ila pale panapohitajika professionalism itumike professionalism na sio mwenendo wa kutumia...
3 Reactions
27 Replies
944 Views
Nimelipia ili kufungiwa huduma leo ni siku ya tatu hawajanipa huduma, nikiwapigia wanadai kuna tatizo, mbona hela mumechukua kwanza? Mjini hapa jihadharini na kampuni hizi afadhali sana ya zuku...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena.... Akaja...
2 Reactions
6 Replies
436 Views
Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
2 Reactions
8 Replies
493 Views
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
114 Reactions
420 Replies
22K Views
Katika kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kidigitali ntapiga marufuku matumizi ya simu ndogo a.k.a viswaswadu ili kuhimiza matumizi ya digital Mpango huu uatenda sambamba kuhakikisha bei ya...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Umeshawahi kujiuliza nini kingetokea endapo dunia ingekuwepo bila Mwezi ?? Kama ingetokea Mwezi ungepotea na kuhalibika basi kungesababisha Mabadiliko makubwa sana duniani kote, na hiki ndicho...
1 Reactions
9 Replies
461 Views
Back
Top Bottom