Hakuna mbunge wala waziri wa CCm ambaye hukasikia yupo na wananchi.wao ni kejeli na majigambo kama kikundi cha wenye kula keki ya taifa.
Huyu naye anatumia VPN kupost alichokisema mtandao X
Nimekutana na andiko linalokosoa kampeni zilizomfanya Janabi ashinde, andiko hili sijaona muandishi wake lakini lina mashiko kwa namna moja au nyingine. Ikumbukwe Ndugulile alishinda bila kampeni...
Wana jukwaa habari za wakati huu, ni matumaini yangu mu wazima. Huwa nashea mambo yanayotokea kwenye jamii yangu kama ilivyo ada.
Hapa ninapoishi kuna mmama jirani yangu ana watoto watatu wakike...
Habari wakuu
Nimetafuta japo uzi wenye kuelezea dawa kwa aliyekwishanza kuathirika na gastric. Naombeni msaada naishu kwa kutafuna tangawizi usiku kucha
Ndugu wa wagonjwa wanaopatiwa huduma za matibabu katika Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameeleza kuridhishwa kwao na huduma wanazopatiwa wagonjwa wao.
Pongezi hizo wamezitoa leo...
Ukiona watu wanatembelea range usiogope ila muulize peleka kwa wakala wa range litengenezwe maana litakuwa na history.
Nimeona bora kuwaletea hii mada kuna mikasa mingi ya wizi wa magari...
Walianza kama wapigania uhuru lakini baada ya kupewa huo uhuru wamebadirika na kuwa wakoloni wa kiafrika wenye kujirimbikizia mali kwaajili ya familia zao na siyo Afrika.
Sekta ya michezo ya Kamari barani Afrika inaendelea kukua kwa kasi, ikivutia wawekezaji, wasimamizi wa sheria na watafiti. Ukuaji huu unachangiwa na idadi kubwa ya vijana, upatikanaji wa intaneti...
Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni...
Tarehe Machi 14, 2025 niliweka 20,000 ili niweke mkeka lakini cha ajabu hela haikuonekana kwenye akaunti yangu ya HELABET licha kutuma kupitia Mtandao wa Vodacom.
Nikajaribu kuwapigia simu...
Salaam wakuu
Eti wakuu niliskia eti bangi inafukuza majini yaani majini yakiskia harufu ya bangi yanakimbia[emoji3] hivi ni kweli?
Na bangi inasaidia nini mwilini? inauwezo wa kutibu magonjwa...
wiki 3 zilizopita nilinunua kifurushi dstv lakini decoder ilikua mbovu Leo nikaomba kunihamishia mwamala wangu na wamenipa, sasa nauliza je, naweza itoa kama fedha kesh? au inatolewa vip...
Hakika uvumilivu umenishinda, siwezi kusubiria hadi j.pili, siwezi kuangalia kwenye luniga, leo hii naondoka na boti kuelekea zenji kwenda kuhakikisha Timu bora Africa Simba Sport Club inashinda...
Jumla ya wananchi 1,640 kutoka vijiji vya Engikaret na Kiserian, Wilaya ya Longido mkoani Arusha, wamepatiwa elimu ya kujikinga na wanyamapori wakali na waharibifu katika kipindi cha Julai 2024...
Kwa mwaka 2025, ndege ya kivita inayoongoza duniani ni Lockheed Martin F-35 Lightning II, ikizingatia teknolojia ya kisasa, uwezo wa kiutendaji, na matumizi ya kimataifa.
🔝 Ndege Bora za Kivita...
Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu...
Habari za asubuhi wana jukwaa.
Wiki hii katika pita pita zangu humu JF nilikutana na uzi wa @Tuliowahi kuvamiwa na majambazi tukutane hapa sasa mimi na kiherehere changu nikafungua nikaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.