GISAMBO
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,217
- 1,985
Leo Nilikosa Kazi Nikaamua Na Mimi Nisome
Status Za Kila Namba Nilio Nayo Whatsaap Yaani
Kuna rafiki zangu wa WhatsApp wana nichekesha
sana na status zao najua haya nihusu ila nasema
tuu;.
Mtu ameandika ?Sleeping? , sasa leo siku ya
tano, si kishakufa huyu?
Mwingine kaandika ?Driving? toka mwaka jana
Agosti, naona atakuwa anakaribia Afghanistan
saa hizi
Haya kuna jamaa angu mwingine najua kalazwa
anaumwa lakini kaandika ?Happy? Ahahahhaha
Dah asa sijui happy ya nn na leo tuu nimetoka
kumuona hospital
Jamaa angu mwingine huyu hajabadilisha status
mwaka wa pili sasa, ?Hey there! I?m using
WhatsApp? sasa unadhani sijui? Tungekutanaje
kama hutumii Whatsapp?
Jamaa Langu lingine wiki sasa inapita kaandika
?Urgent calls only?. We vipi? Kwani we faya, au
ambulens au polisi?kuna kabishoo kameandika
?Can?t talk, WhatsApp only?. Sasa una simu ya
nini? Si uitupe uwe unashinda Facebook? Simu
kazi yake ya kwanza mawasiliani sio Whatsapp,
kudadeq.
kuna mshamba kaandika ?At the movies? wiki ya
saba sasa, sinema gani ndefu hivyo wewe? Au
ndo anafanya kazi ya ulinzi pale sinema?
Dogo kaandika angu mmoja kaandika ?At school?
sasa Whatsapp ya nini? Utapata Div O wewe
dogoo shauri zako😀😀😀
kuna mdada kaandika status yake huu mwezi wa
nne sasa eti ?At the gym? sa sijui anajitayarisha
kwa Olympic ama nini. Gisambo nicheke japo nina pengo 😂😂😂 one love😘😘