Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Wa Kati wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (wa pili kushoto), akipeana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Group la Six Continental Trading Company...
Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema.
Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew...
Naweka summary/reviews za mada nyingi nilizoandika na kushauriana na watu mbali mbali ndani na nje ya JF.. Sina ruhusa yao hivyo siwezi kumtaja yoyote
Nitakaribisha na maswali pia
1. Tiba ya...
Nina hoja kuhusu Kambele Investment, Mianzini - Arusha, mnunuzi anadai kuwa kiwanja alichonunua kimeuzwa pia kwa mtu mwingine, pamoja na kufuatilia suala hilo kwa muda, bado anadai hajapata...
Nilikua nimekaa zangu karume mchikichin pale sokon napiga mishe zangu za usabanga ghafla tu simu ikaita kumuangalia mpigaj ni mteja wangu mmoja hv wa kitaambo huyu jamaa nilishamuambiaga akipata...
Ni jambo la aibu kwa taasisi inayo heshimika kama hii Kutoa matokeo usiku afu asubuh waka yafuta wakati baadhi ya wanafunzi wameshaona .
Hiki Kitendo kina leta maulizo, hofu na wasi wasi ikiwa...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini katika kutekeleza majukumu yao ya kiroho na...
Nipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa...
Ivi ndugu zangu mnaona India inavyo bomoa misikiti na kupinga harakati nyingi za kiislamu, em tujuzane nn shida kwa India hasa suala la uislamu ndo hawautaki nchini kwako...
Majuzi nilikuwa river side vikao vya harpsichord
Yaan wachaga wameanza kuogopwaa aisee
Toka mmoja huko kumtwanga mkewe watu wameanza kuogopa wachaga wenzetu
Na wa arusha huko mjipange
Soma...
• Ni katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa ulinzi wa faragha ulioandaliwa na PDPC
Mkurugenzi wa sheria wa Vodacom Tanzania PLC Olaf Mumburi (wa pili kulia), akizungumza wakati wa mkutano wa...
Baadhi ya maeneo mfano gongo la bonto walichokifanya siyo kuwandoaa,bali Ile barabara ya watembea kwa miguu ,wameigawa katikati mfanyabiasha atapanga bidha asivuke ktkt ya hilo eneo ,na Kuna meza...
Ndugu zangu tunajisahau sana, kila kukicha mnalichokonoa hili Dubwana. Raia wote mnapaswa kujua Hatari kubwa sana inaweza kupata endapo utataka shindana na Serikali. Kwa uhalisia Serikali yoyote...
Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.
Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy...
Ningependa kupata ufafanuzi juu ya kichwa cha habari cha mada tajwa. Maana niliona tangazo kua machinga kukaa barabarani Wilaya ya Ubungo mwisho ni tar 29 mwezi wa tisa, lakini mpaka sasa machinga...
UK wana system ambayo plate number yako na "NIDA" zimeunganishwa na namba yako ie plate number ya gari na details zote eg mmiliki, place of domicile, anuani ya makazi, family information zote...
Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.