Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mmiliki wa makampuni ya teknolojia ya SpaceX na Tesla, Elon Musk, anakaribia kuweka rekodi ya kuwa trilionea ambayo wa kwanza dunia kwa kufikia utajiri wa zaidi ya dola trilioni moja. Kwa sasa...
13 Reactions
35 Replies
730 Views
Kila nikifikiria yaliyonikuta ktk maisha yng ya ndoa Miaka kadhaa iliyopita, najiona nilifanya uamuzi sahihi sana kumwacha aende kwa amani. Nikiwa na umri wa miaka 25 nilibahatika kuoa msichana...
16 Reactions
60 Replies
943 Views
Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika...
2 Reactions
4 Replies
189 Views
Kuna wakati nawaelewa sana, ila kuna wakati mnafanya mambo mengine yanakatisha tamaa sisi tunaojipinda kuangalia status za shortlisted au not shortlisted. Mfumo ulihitaji niweke documents...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Hili swali lingekuwa halina maana kama yasingetokea leo ya kujiuzulu nafasi nyeti ya ubalozi nchini Cuba na uwakilishi wa mataifa jirani na Cuba Tatizo sio kujiudhulu bali ni sababu za...
54 Reactions
171 Replies
10K Views
Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania..... Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
1 Reactions
16 Replies
201 Views
Wakuu, Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao. Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi...
5 Reactions
19 Replies
399 Views
Nisiwe mwingi wa maneno wakuu mko poa? Jamani mimi katika kufanya side hustles nikaona nijiongeze kufanya kazi ya kupiga picha na kuziuza. Kifaa nilichokuanacho wakati napata hilo nsimu pixel 8a...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa...
3 Reactions
19 Replies
894 Views
1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
0 Reactions
2 Replies
61 Views
Kila mmoja wetu amepitia jambo fulani ambalo kwa wakati ule aliona kabisa, “hapa sijui nitavukaje.” Kuna waliopitia magumu ya kifedha, afya, familia, kazi, mahusiano, misiba, madeni, au changamoto...
3 Reactions
10 Replies
97 Views
Kile kinachoendelea cha usafi na kuzuia biashara katika maeneo Yasiyo ramsi kinachonekana ikifanyika katika wilaya zingine huku wilaya ya Ubungo Mambo yakiendelea opposite. Katika wilaya ya Ubungo...
1 Reactions
3 Replies
64 Views
Hili eneo kwa sasa sio maarufu kama miaka ile ya 80- 90. Hapa ilikuwa ndio kama kituo kidogo cha abiria wa mikoani. Wale wauza mikate wa stendi ya mkoa zamani walikuwa wanauzia pale Kibo. Ilikuwa...
46 Reactions
329 Replies
48K Views
Hivi haya mafundisho tunayopewa misikitini na makanisani na wazungu wanafundishwa hivi hivi au kwa wazungu wanapewa mafundisho yao mengine japo dini moja. Kuna vitu ukivisikiliza kwa masheikh au...
5 Reactions
16 Replies
227 Views
Ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi kwa nyakati hizo?
0 Reactions
19 Replies
96K Views
Hivi mnaelewa lakini maana ya kuanza upya wazee? Talk is so easy. Kuanza upya imekaa kihisia sana watu wanaleta hisia sana kwenye downfall asee Siungi mkono kuumizana kwa hali yoyote ile...
13 Reactions
79 Replies
739 Views
Video inayomwonyesha askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) akijibizana na kutoa matusi ya nguoni dhidi ya dereva, imeendelea kusambaa kwa kasi na kuibua mjadala mzito miongoni mwa wananchi kuhusu...
7 Reactions
12 Replies
282 Views
Wakuu ! Nimeamua kuandika kuhusu huyu Bilionear wa Zimbabwe qliyekufa kwa ajali ya helicopter Habari za vijiweni zinasema kwamba utajiri wake ulikuwa wa punje Nadhani aina hii ya utajiri...
6 Reactions
77 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja ameeleza kuwa kwa muda wa miezi mitatu, mwanaye mdogo wa kiume alikuwa akisumbuliwa na tatizo la viungo vyake vya siri (uume) kuongezeka ukubwa ghafla na kuwa kama vya mtu mzima...
6 Reactions
26 Replies
312 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limeanza kuchunguza picha mjongeo inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimuonyesha askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akimshambulia dereva wa lori. Polisi...
1 Reactions
13 Replies
248 Views
Back
Top Bottom