Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Wachaga: Geita na Chunya kuna Madini, nendeni huko!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,355
Reaction score
26,923
Wachaga ni kabila la wajanja na watu wenye udhubutu, wajanja, ubunifu, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.

Mtanzania wa kwanza kupanda Mlima EVerest ni Mchaga Wilfredy Moshi, Mangi Marialle ndio aliona aombe Uhuru wa Chagga land toka kwa Mwingereza, miaka ya 1950.

Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.

Achaneni na "duka la Mangi" ni muda sasa wa kupambana na madini, badilikeni hayo mauka acheni kwa watu wa porini huko.

Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?

Nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
 
Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker
 
Wachagga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.

Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?

Hwa ChaSaKa hawajitambu, nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Mchagga anajua KUUZA BAR, KITIMOTO na MADUKA.

Umewahi kumuona Mchagga kwenye KAZI kama UVUVI, KILIMO na MADINI??

Kwasbaabu Wakoloni waliwapa elimu zamani, mkaitumia kupata NAFASI za serikali na kujipendelea, hizo zama zimekwisha.

Siku hizi mpaka MASAI amekwenda SHULE na anaijua PESA.
 
Wachagga ni watu wajanja, wapambanaji na wamesambaa dunia nzima kuliko hata wachina.

Siri hii nawapeni, achaneni na mererani, achaneni na bodaboda, nendeni Geita, Buzwagi, Chunya, Songwe kachimbeni madini muwekeze.
Mtu unaitwa Shayo, Shirima, Tarimo, Ruwaichi, Matowo, Kuleiye, Kariwa, Lyatonga, Mrema, MMbowe, Saasisha, alafu unaendesha bida-boda?

Hwa ChaSaKa hawajitambu, nendenni mkavune kwao, nyie ni wajanja mko mbele ya muda!
Hakuna mchaga omba omba , hakuna mchaga Chawa, wala muuza KAranga!
Wachaga we are blessed 🙏

Tuna spirit nenda kwenye elimu, pesa, biashara, akili nyingi

min -me
 
sehemu yeyote yenye biashara nzuri lazima ukute makabila yote yapo na siyo wachaga tu
Ni sahihi, ila hao jamaa wamezidi


Mwaka 2009 nilipokwenda Ubaruku kule Mbarali, niliwakuta jamaa wakilima Mpunga na kuuza mchele

Nilipokwenda Mikoa ya Kusini niliwakuta wakilima korosho na kuuza

Kwenye dhahabu, nimekutana nao pia

Kwenye miwa kule Mtibwa na Kilombero wapo pia wakilima na kufanya biashara ya huduma

Napenda sana upambanaji wao

Japo kama ulivyosema makabila mengi yanapatikana kuliko na fursa, ila hao jamaa wako mbele zaidi
 
Wachaga hiyo biashara wanaishindwa,kwa sababu biashara zao zote,zinategemea mikopo,na uchimbaji hakuna mikopo!

Kakudanganya nani, uchimbaji, uuzaji na utafiti unakopesheka. Chukua leseni ya uchimbaji unapewa eneo mita squares 8000, wekeza uwekezaji wa msingi, unavuta loan mzee. Unapewa loan kulingana na working capital sio kulingana na unachochimba au kupata.
Mtafiti tuu anapewa loan itakuwa mchimbaji.
 
1790070889197.png
 
Wataenda kuchimba hayo madini na meno ama mikono?
Juzi tu hapa mtu ANANIAMBIA kwa Sasa hata ukiwa na milioni 40 haitoshi kuanza biashara ya uchimbaji madini...
Labda angalau uwe broker
WANAUNGANA , KAMA WANAVYOFANYA KARIAKOO NA MIKOA MINGINE.
SISI WA KIGOMA NA MIKOA MINGINE TWENDENI DAR TUKAWE MACHINGA.
 
Back
Top Bottom