Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.
 
Lile ni Taifa la Mungu Vishnu, Krishna, Shiva, Ganesha, Hanumanu na Brahma.

Kule Allah hana Nguvu Wala Yehova, Yahweh Wala Jesus.

Hivyo Wana haki ya kuvunja Imani batili katika ardhi takatifu ya Krishna
 
ni suala lenye historia na mijadala mingi, hivyo ni muhimu kuangalia matukio na sera mbalimbali kwa ushahidi na kuelewa mitazamo tofauti kuhusu uislamu nchini india.
 
India,,miaka ya 1600 hadi 1700 ilikuwa inatawaliwa na mfalme ambaye alikuwa anaitwa king Shah Jahan ambaye alikuwa Muslim,,,,na ndy aliyeijenga ile Taj Mahal miaka ya 1630-1650 kama sijakosea..
Utawala wake ukaja kuangushwa na England miaka ya 1700.,kipindi hicho India ilikuwa inchi moja na Pakistan,,iliitwa Hindustan..
Baada ya England kuondoka India,,, Hindu wakapata nguvu na kuwafurusha waislam wengi wakakimbilia Pakistan ,wakati huo hata Bangladesh ilikuwa ndani ya Pakistan..
Misikiti mingi ilivunjwa India na kugeuzwa temples za hindu...
Mwaka 1999 Nimeshuhudia msikiti mkubwa sn hapo New Delhi,msikiti ambao ulikuwa unagombaniwa na wahindu na waislam ,,ikabidi serikali ya india waufunge..kwa usalama wa raia wake wasiuane..
Pengine ndy huo msikiti unaovunjwa leo.
90% ya masikini na ombaomba India ni Muslim sababu walipokonywa mali zao nyingi sn na wahindu wakati wa kujitenga na Pakistan..mwaka 1947.

Yes sio mwaka huu tu wamevunja hata last year kuna vipeperush vilibandikwa kwenye nyumba za waislamu polis wakawa wanaenda kutoa .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom