Miezi michache iliyopita kumekuwa na hoja nzito ikielekezwa kwa uislam. Hasa suala la kutumia lugha ya Kiarabu katika ibada. Mpaka ikaonekana kwamba uislam siyo dini, bali ni chombo au mpango wa...
Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi.
Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa
Lakini nmegundua...
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye...
Ni miti mikongwe duniani.. Toka kila pembe ya dunia.. Imeshuhudia na kuona mengi.. Inayajua mengi mabaya na mema, ya kizani na ya nuruni
Imeshuhudia maanguko ya falme na himaya katili...
Habari, ahsante kwa kufungua uzi huu. Kuna uzi nautafuta niliusoma mwaka jana mwishoni, simkumbuki muandishi wala kichwa cha Habari.
Uzi ulikuwa unahusu mishe ya jamaa fulani kupokea wageni...
Habari Wana jukwaa.
Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine.
Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye...
Hapa ndio ukomo wa akili wa hawa chawa mama ccm.
Unajionesha wewe ni imara sijui uteteleshwi ila mda si mfupi unaenda kuwa lilia mikopo ya vyoo vya mashule.
Kufunga mtandao X na bado unatumia...
Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa...
"Akatupa vile vipande vya fedha hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga."
(Mathayo 27:5)
Ni mstari mfupi, lakini wenye kishindo cha kimya kinachopasua nafsi.
Yuda hakusaliti kwa ujinga,alisaliti...
nilikuwa na mwanaume X tulibahatika kupata mtoto mmoja akaniacha akaoa mwanamke mwingine amekaa nae miaka minne hakumpelekea barua Wala mahali katika kuishi nae wakapata Tena mtoto,nilivyoona...
Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika.
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph...
"Money is numbers and numbers never end..."
– Pesa ni kama namba, na namba hazina mwisho.
– Ukiikimbiza pesa tu, kamwe hautaridhika — daima utataka zaidi.
"If it takes money to be happy, your...
Baada ya kuanza zoezi la usambazaji wa vyandarua Mkoani Kigoma MSD leo imeendelea na usambazaji wa vyandarua hivyo huku leo hii ikikamilisha kusambaza kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na...
Wakuu hivi ni namna gani unaweza kuepuka kuchangia harusi hasa hawa wanoomba michango randomly kisa tu ulisoma naye unaamka unajikuta kwenye group na wengine wako na audacity unakuta hadi amount...
Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance.
Ukilisoma...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mwanafunzi na Mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kudai wamecheleweshewa fedha za kujikimu...
Mhadhiri na Mwanzilishi wa Utafiti wa Mitandao Jamii Tanzania,Dkt.Jabhera Matogoro amesisitiza kuwa suala la Mawasiliano kwa Watu wote sio chaguo bali ni maamuzi ambayo yanatakiwa kutekelezeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.