Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi...
1 Reactions
5 Replies
566 Views
Nimesikiliza wabunge wakilalamikia shule zilizo ktk majimbo yao kutokuwa na walimu wa kike wa kutosha, kwanza wanawatakia nini? Pili mbona huku Arusha hasa wilaya za Arumeru na Arusha walimu wa...
3 Reactions
7 Replies
579 Views
Neno kenge ni binadamu kuwa uhai si kitu ila wa binadamu mtoto wa raisi ambaye abdul ni kitu. Nchi zilizoendelea hata kama ni mkimbizi lakini wapo makini kuangalia wewe utafanana na abduli.
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga. Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi. Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka...
0 Reactions
2 Replies
311 Views
Wananchi wa Kiwalamo Kilolo – Iringa, Wilaya ya Kilolo nchini Tanzania wakiwa wamembeba mgonjwa kwenda Kidabaga kama mnavyoona umbali wa Kilometer 40 kwa miguu ili akatibiwe, changamoto ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau, Naomba kuuliza wenye ujuzi na mambo ya umeme. Kitu Megawatt, umeme huo unakuwa na ukubwa(wingi)kiasi gani, kutumika kwake ni kama muda gani! maana naonaga mfano wakiongelea Megawatt 5...
5 Reactions
9 Replies
528 Views
Hizi ni hoja kumi alizozitoa Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima akihoji na kushauri. 1.Kuna wimbi la utekaji, na uvamizi wa kikatili wa raia pasipo hatia wala utaratibu wa kueleweka. 2.Vyombo vya...
1 Reactions
2 Replies
560 Views
Hata sisi waafrika mambo mazuri tunaweza yafanya, ifuatayo ni prototype ya uwanja wa KIA utakavyokuwa sio kinyonge tena sio lazima uwe hivyo ila point ni kwamba lazima uwe mzuri Lazima ufahamu...
11 Reactions
72 Replies
2K Views
SOMO LA KUJITAMBUA: MIMI NI NANI NA NIMEKUJA KUFANYA NINI DUNIANI By Doctor Dogoli Kinyamkela ☠️💀 1. UTANGULIZI Kujitambua ni hatua ya kwanza ya uamsho wa kiroho. Asiyejijua yeye ni nani...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakuu...hivi ni mitandao yote saivi au ni huu voda tu ndio wa kijinga saivi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, amempongeza na kumuhimiza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, kuendelea kutenda haki bila woga wala upendeleo...
0 Reactions
10 Replies
795 Views
Leo tunaona msajili wa vyama kukumbatia CCm. Leo tunaona polisi kama sio mwana CCm basi maisha yako ni kenge. Leo tunaona magari ya polisi kubeba wananchi washiriki mkutano wa CCM. Leo tunaona...
1 Reactions
5 Replies
472 Views
Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya...
1 Reactions
1 Replies
412 Views
Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospester Muhongo ametajwa kutekeleza vema aliyoyaahidi jimboni kwake. Mbunge huyo ambaye pia ni mwanataaluma bobezi ameng'ara kwa namna alivyowatumikia wapiga...
0 Reactions
6 Replies
517 Views
Kuna kosa limekuwa likifanyika mara nying katika mabaraza ya ardhi ya wilaya. Nalo ni hili: Wenyeviti, wengi huwa wanasahau kuweka maoni ya wazee baraza na kusoma maoni haya mbele ya wadaawa...
1 Reactions
5 Replies
253 Views
Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine...
2 Reactions
3 Replies
414 Views
Jamani, hebu niwaambie kitu – Mbowe hatohama CHADEMA kama mnavyodhani! Wengi wamekuwa wakisema eti anajiandaa kutoka, eti amechoka, eti kuna mgawanyiko... lakini ukweli ni kwamba Mbowe bado yupo...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapenzi Wanaume, Hakuna aibu kusema, "Babe, siwezi kumudu hicho kitu." Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali. ishi maisha yako kwa uwezo wako...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Miongoni mwa mambo yanayonikera mno ni wakenya kujitapa, ya kwamba Tanzania imejaza Omba Omba Kenya, inaniumiza sana sana, serekali ilichunguze hili ione jinsi gani itawasaidia tofauti na...
4 Reactions
6 Replies
415 Views
😂 au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom