Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau mlipo kwa hii benki tusaidieni. Wikend hii mambo hayaendi. Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
2 Reactions
15 Replies
866 Views
Wakuu Kama title inavyo sema kopesha ushangazwe. Mimi nimeshangazwa wiki hii na wadaiwa wangu(kuonekana mbaya kudai changu). Naomba experience yenu nyinyi ambao tayari mlishawahi kukopesha na...
17 Reactions
83 Replies
3K Views
Smart phone na social media haviepukiki katika dunia ya leo. Moja ya faida ni kuelimisha, kuna binti wa miaka 10 aliweza kuandaa period pack yake kabla hata ya kupevuka kutokana na uwelewa...
14 Reactions
83 Replies
10K Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda huu alipo tumelazimika KUMPIGA PINGU !! Anatetemeka na kutoa jasho na kuomba apewe kidogo anajihisi kufa akiachiwa huru kituo cha kwanza ni kwa Pusha, kuna pusha tulishamkataza asimuuzie...
12 Reactions
68 Replies
3K Views
Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Nimesikitishwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa mkoani Kilimanjaro kutokana na operesheni ya kukata miti "haram" ya mirungi. Ekari zijatajwa zaidi ya 800 zilifyekwa kwa ajili ya kudhibiti...
5 Reactions
12 Replies
696 Views
Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua...
7 Reactions
97 Replies
2K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa...
4 Reactions
6 Replies
611 Views
Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema...
24 Reactions
196 Replies
24K Views
Katika mfumo wa maisha tunayoishi, imejengwa misingi kwamba, wengi wawe masikini na matajiri wachache. Kwa hivyo, kama upo kundi la umasikini, kutoka humo siyo kazi nyepesi, ni lazima uzijue...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi...
13 Reactions
45 Replies
3K Views
Kuna ukarimu fulani wa kiafrika... Mgeni anapewa heshima kubwa sana.. Kwa baadhi ya makabila mgeni kama ni mwanaume hupewa na mlimbwende kabisa amtoe baridi... Ila sijui kuhusu wageni wa like...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
18 Reactions
69 Replies
8K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu wa madereva nchini afariki dunia. Nawasilisha.. ========== Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Paul Makonda. Katika ukurasa wake wa...
0 Reactions
114 Replies
18K Views
Back
Top Bottom