Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ilikua nikalipe rejesho la mchezo kule mtaani kwetu, ilikua elf 50, katika ofisi nayopigia kazi kua mwingiliano wa wafanyakazi wengine, ilikua niende toilet, kurudi nakuta pungufu ya elf 20...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo. Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna hilo jambo kwa sasa wengi wanaona la kawaida tu lkn si la kawaida kiivyo ni mpango wa kudhoofisha ukristo, kuna wadada wengi kwa sasa wakristo kuolewa na wakaka ambao si wakristo wengi...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Watanzania wametumia zaidi ya Bilioni 900 kuagiza magari kutoka Nje ya Nchi. Kwa mujibu wa takwimu rasmi,mwaka 2023 & 2024 ndio miaka ambayo Magari yalinunuliwa sana. Ikumbukwe Waziri wa Fedha...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Your control of your sexual urges will be the reason you are either successful or a failure. Porn and masturbation are the greatest killers of success. They stunt and destroy your brain. Avoid...
14 Reactions
11 Replies
935 Views
Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
1 Reactions
1 Replies
276 Views
Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
1 Reactions
1 Replies
352 Views
Kufikia 2025, wanasayansi wameorodhesha takriban spishi milioni 2.3 Duniani, ikionyesha sehemu ndogo tu ya anuwai ya sayari yetu. Idadi kubwa zaidi—karibu milioni 1.5—ni wanyama, huku wadudu...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Mambo ni mawili tu, Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni Au Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni. Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR...
1 Reactions
6 Replies
432 Views
Wakuu habari 💪 Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮‍💨 Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵 Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Changamoto za utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu ni suala lenye uzito mkubwa, hasa linapogusa mustakabali wa wanafunzi wachanga walioko katika hatua za mwanzo za elimu ya sekondari. Ingawa mtaala...
0 Reactions
4 Replies
641 Views
Ndoto Kubwa, Maisha Magumu Kuna vijana mitaani wana akili kubwa, vipaji vya ajabu, na ndoto zenye mwanga , lakini dunia imewakataa kabla hata hawajajiamini. Wanakulia kwenye kelele za matusi...
3 Reactions
2 Replies
394 Views
Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa wale wafuatiliaji wa mitandao ya kijamii, haswa inayohusu habari za nje ya Tanzania. Kuna tukio fulani limetokea hapa Kaburu ambalo linamhusu dogo fulan kwa jina...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Huu ni umama na ujinga kuhisi kwamba kujenga nyumba ni mafanikio hii ni ndoto ya kila masikini eti kujenga nyumba kwao ni utajiri na mbaya Zaid hata kijijini kwenu wajinga watakusifu kwamba...
19 Reactions
128 Replies
8K Views
wakuu, wakuu samahani naomba ushauri sina ela kwa sasa Leo wife Aliitwa ofisini akaenda akakuta mashitaka kua sijafyeka majani kuzungukia nyumba, nyumba ni ya urithi kuna wapangaji kadhaa...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Hii mitandao ya simu Tanzania imekuwa kero sasa, unajikuta una laini ya kila mtandao na kila laini unasajili kwa kazi yake kwasababu hakuna mtandao unaotoa huduma zake kwa 100%. Nina laini za...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Mange Kimambi au kama watu wengine wanavyomuita Dada wa Taifa ni miongoni mwa Socialites wanaolipwa vizuri kwa kazi zao za mitandao. Kwa wachache msiomjua, Mange Kimambi ni Mwanamke mwenye asili...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi. Wanakufuata wakiwa na...
3 Reactions
16 Replies
927 Views
“Napenda kutoa ufafanuzi kuhusu clip ya video ambayo inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha mgonjwa akibebwa ktk machela na kupelekwa hospitali na inaelezwa kuwa huo ndio utaratibu wa...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom