Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika maisha haya ya kila siku, kuna mambo mengi yanayoendelea ambayo hayafahamiki kwa macho ya kawaida. Watu wengi wanahangaika, wanateseka, wanakata tamaa, na wengine hata kufa kabla ya wakati...
20 Reactions
19 Replies
2K Views
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini. Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium. Ambazo sijazitaja ...
12 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi...
10 Reactions
106 Replies
15K Views
Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
03 Juni 2025, Pretoria — Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Barani Afrika (ATAF) lina furaha kutangaza uteuzi wa Bi. Mary Baine kuwa Katibu Mtendaji wake mpya, kuanzia tarehe 1 Julai 2025. Bi. Baine...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Nimeanza na masaa24 Leo nimefika masaa 25 Nataka slow slow nifike masaa48, max siku 4 Nimeambiwa ni nzuri kwa kufanya body reset na healing Lakini pia ni muhimu kujua madhara yanayoweza kutokea...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia vyombo vya habari hapa Tanzania nimegundua ndo mipango mikakati wa kuwapumbaza Watanzania na kuwa Fanya masikio na akili zao yasikie mambo madogo ya kipuuzi Media za Tanzania...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni...
0 Reactions
5 Replies
804 Views
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu. Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Haya ni makosa muhimu ambayo mafundi wa tiles wanapaswa kuyaepuka ili kuhakikisha ujenzi wa sakafu unakuwa imara na wa kudumu. Jinsi ya Kuepuka Makosa Haya ✅ Kutumia Waterproofing kwa Sehemu...
1 Reactions
1 Replies
675 Views
Habarini, Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga? Je serikali zinazofunga makanisa...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Habarini, Hivi karibuni nilileta hoja ya hospitali nyingi za serikali kuwaandikia dawa wagonjwa na kuwataka walipie dozi nzima na wakishalipia ndani ya muda mfupi wanabadilisha dawa na kuwataka...
3 Reactions
3 Replies
360 Views
Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine. Anaamua kutokwenda. 1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje? 2. Nimemshauri...
1 Reactions
5 Replies
413 Views
Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
0 Reactions
2 Replies
379 Views
Akijibu hoja iliyoibuliwa na Mwandishi wa Habari kwenye kikao maalumu baina ya Ofisi ya Msajili wa Hazina na wahariri, kuhusu changamoto ambayo imekuwa ikijitokeza kwa nyakati tofauti kwa Shirika...
0 Reactions
1 Replies
324 Views
MILIMA 10 MIREFU DUNIANI; HIZI NDIO NCHA ZA JUU KABISA ULIMWENGUNI. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Saturday-04/06/2022 Kilimanjaro National Park Marangu Mtoni, Kilimanjaro Tanzania Jana...
1 Reactions
2 Replies
839 Views
“Ikiwa huwezi kusoma vizuri, kufikiri kwa mantiki, au kuelewa habari unazozipata — basi wewe si sehemu ya suluhisho, bali ni mzigo wa taifa.” Ni wakati wa kusema ukweli bila kificho: Ujinga sio...
4 Reactions
14 Replies
815 Views
Barabara nyingi za pembezoni jijini Dar es Salaam zipo katika hali mbaya sana kufikia Juni 2025, zimetoboka kupita kiasi. Tunatoa wito kwa TARURA kuchukua hatua za haraka kuziba matundu hayo...
0 Reactions
2 Replies
539 Views
Back
Top Bottom