Swali la uelewa,
Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?
Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa
c.c FaizaFoxy
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeutaarifu umma wa Watanzania na kuwaalika wadau wa elimu na maendeleo, kwa ujumla kushiriki katika Maadhimisho ya kumi ya...
Nimewahi kutana na vishawishi Vingi ambavyo kwa asilimia kubwa nilivishinda ila hiki cha kwenda kwa mgaga naona kimenishika pabaya na nnaweza nasa mtegoni sio mda.
Katika moja na mbili...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Wanawake kuweni sana makini this time watu...
Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote.
Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi...
Wanasema tembea uone sio kuhadithiwa bwana. Wilaya ya Kahama hipo mkoa Shinyanga na ukanda wa Ziwa Victoria.
Uzuri wa Kahama ni mji unaokua kwa kasi sana ukilinganisha na sehemu nyingine ambazo...
Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo.
Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St...
"Tukikubaliana na haya yanayoendelea yanayopelekea kwenda kuharibu amani ya nchi yetu tutakuja kujuta watanzania, kwasababu tangu wazee wetu wametengeneza amani kwenye nchi hii na kuruhusu uwepo...
Wakuu
Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling...
Wapendwa mambo vipi
Naomba kufahamishwa dawa ya kuangamiza hawa wadudu
Chumbani wamejaa mpaka kitandani hapa nipo nje nimeshachoma nguo lakini wapi ipi dawa ya kuwafanya wasirudi tena??
Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie...
Kwa mwanaume makini na halisi hawezi kukataa mimba kwa mwanamke aliyelala nae na kufanya nae tendo la ndoa hakika hawezi kuikataa.
Iko hivi mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kuikataa...
Katika nafasi ya uongozi, kiongozi mkuu wa nchi anabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha usalama wa raia wake na mali zao unakuwa mkubwa. Endapo yakitokea mauwaji ama upotevu wa raia ama viashiria...
Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa...
I. 道 The Way
1. The Way that can be told of is not an Unvarying Way.
2. Because every one recognizes beauty as beauty, ugliness exists.
3. Cease to set store by products that are hard to get...
Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani...
Daniel 5:24-31 inasema;
"Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa. Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.