Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema takribani Sh Bilioni 900 zimekusanywa kutoka taasisi za umma na kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa hisa chache zipatazo 200.
Amesema “Hadi kufikia...
Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na...
Hakuna wizara ambayo ngumu kama wizara ya Mambo ya Ndani, naona wangesoma waliopitia hii wizara na mwisho wake walikuwaje.Kuna wengine mpaka wakadharaulika, wengine walijiondoa kulinda heshima...
Tafiti za Kiafya kuhusu Afya ya Akili zinaonesha Binadamu yeyote katika wakati fulani hukabiliana na mambo kadhaa yanaweza kuathiri Ubora wa Afya ya Akili kwa muda mfupi au kubaki na athari hizo...
Wapo watu wanadhania Mungu haoni maumivu ya watu wake!
Kuna watu wanafikia hadi kuhoji kama GWAJIMA angekuwa na Mungu asingefanya vile na vile!
Iko hivi kanuni ya Mungu haijawahi kubadilika...
POSTA KUSHIRIKIANA NA TANTRADE KURAHISISHA USAFIRISHAJI WAKATI WA MAONESHO YA SABASABA
Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) wametiliana saini...
Mzee Exavery Mgavilwa (71) maarufu kwa jina la Boy Safi ambaye ni mkazi wa kijiji cha Ninga halmashauri ya Wilaya ya Njombe ameiangukia serikali akiomba kufikishiwa nishati ya umeme nyumbani kwake...
Katika habari njema kuhusu Maendeleo ya Teknolojia ni hii ambapo nchini Tanzania iko mbioni kutunga sheria Pamoja na kuweka muongozo kwa kuweza kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu...
Siwafahamu wahanga, lakini baada ya kusikiliza mathila yaliyowapata, nimejikuta nalengwalengwa na machozi!
Kama mimi mwanaume, tena nisiye na ukaribu wowote na wahanga nimeumia hivi, watu wao wa...
Hebu tengeneza picha umeajiriwa, halafu aliyekuajiri anakutumikisha kwa mateso makali na mwisho wa siku anakulipa mshahara wa kifo!, Je kabla ya kuanza hiyo kazi, utakubali kutia sahihi mkataba...
SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI
Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa...
Kwenye Page zao za Mitandao ya kijamii hawa The Chanzo, JamiiForums na Jambo Online TV wanajitahidi sana, japo kuna shinikizo kutoka juu la kutokupost habari za kuhusu kutekwa au kukosoa serikali...
UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI
Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga...
.
Nimejifunza kuwa kwenye maisha siku moja wakati fulani wale watu tuliowategemea sana watatuacha.
Wapo watakaotuacha kwasababu majira yao kwenye maisha yetu
yameisha.
Kuna watakaotuacha...
Hii ni technologia inayotambua matatizo kwenye Grid ya umeme kabla hayajatokea. Baadhi ya kazi muhimu za huo mfumo wa Safegrid's Intelligent System (IGS) ni;
1. Kutambua mtambo mchakavu pale...
Kila sehemu Jina lake linatajwa kama shujaa kwa uthubutu wake wa kuweza kukemea utekwaji hadharani.
Pia watu wanapongeza jinsi alivyoweza kuwatoroka Polisi pale Baraza la Maaskofu Kurasini na...
Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau...
Mkuu wa Wiliya ya Ukerewe, Mheshimiwa Christopher Emily Ngubiagai amewashukuru wafanyakazi wa Benki ya CRDB kwa kukarabati madarasa mawili na madawati 200 kwa ajili ya Shule ya Msingi Hamkoko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.