Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao.
Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako...
MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI
Na John Mapepele
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa...
Katika maisha ya kila siku Kuna mapambano yanayoonekana, na kuna yale yasiyoonekana. Mapambano ya nje huweza kuangaliwa na watu, lakini yale ya ndani – vita kati ya roho na tamaa – ndiyo vita...
Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha.
Nimewahi...
Chanzo: Zanzibar Today
Sheikh Jabir Haidar
Pia Soma
~ Sheikh Jabir Haidar akutwa amefariki Bumbwisudi, chanzo cha Kifo bado kitendawili
~ Utata kifo cha Sheikh Jabir, inasemekana alichukuliwa...
📍NIRC: Igunga
Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imeingia mkataba na mkandarasi mzawa kampuni ya Samota limited kujenga mradi wa skimu ya umwagiliaji Mwamapuli, katika kijiji...
Huu mji mgumu aisee. Ikifika hii mida ya kurudi majumbani kuna foleni aisee gari hazitembei kabisa.
Kama jioni hii una rwtiba ya kutumia hii barabara fikiria mara mbili.
Nimeangalia mkanda wa video wa Boniface Mwangi kutoka Kenya na mwanadada Agather Atuhaire kutoka Uganda.
Wanaharakati hawa walikuwa wakielezea maswaibu mazito waliyoyapitia waliposhikiliwa na...
Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara.
Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa...
Leo majira ya saa kumi jioni maeneo ya ubungo katika ukumbi wa Blue Pearl..askofu Josephat Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, ametunukiwa nishani ya "Doctor of philosopy in Theology...PhD"...
https://www.youtube.com/live/SzOMXx0WhoE
NALAANI upotoshaji huu wanaoufanya Hawa chain of activist uchwara!
°Uchafuzi wa jina la taifa letu unazidi kuharibika,
CHUKUA CHAKULA KITOKACHO SIRINI
Makala hii imeandaliwa na
Creezle Farey
☎📞+255789407381
NINI kinafanyika na kutokea unapokwenda kwa mganga na kuchanjwa chale inayotoa damu yako ?
Iko hivi...
Habari wakuu,
Kutokana na mivutano mbalimbali ya kisisa nchini kuhusiana na uchaguzi
Ambapo suala la "no reform no election" sasa limekuwa sio la CHADEMA pekee bali ni la wananchi wote
Mdao...
Nikiwa Rais moja ya mambo ntakayoyafanya ni kuhakikisha huduma ya dialysis inakua bure
Mfano mashine moja ya dialysis ni sh 200,000,000 haya ni makadirio
200,000,000 × 184= 36,000,000,000
(184 ni...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani.
Mungu hayupo, Nimemaliza.
Mapato yanayokusanywa sasa yanafika kama shiling trillion 32 haya ni makadirio siyo actual figure
TRA wanakusanya kama Trillion 24 na mapato mengine tofauti na kodi ni kama Trillion 8 hii ni kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.