Kichwa cha Habari
Sasa hivi Nguo za Mitumba na Viatu bei Chee Karume hamfuriki Kununua, ila Siku Kuu zikikaribia tu mnaanza 'Kulialia' na kutia Huruma kama Wadeni wa VICOBA
Ukienda sasa Karume...
Anajiita Bishop ila matendo yake kama mhuni wa kinondoni, hapendi shwari anapenda shari, mdomo usio na kiasi, ubishi, ujuaji kiburi mbele ya mamlaka ambayo ina nguvu kuliko yeye na ukoo wake wote...
1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa...
Naandika hii kuhusiana na ubishi kati ya Chadema na Msajili
Iko hivi,
Kwa mfano akidi ni watu kumi. Wapo saba,watatu hawapo.
1 Wanasema,"Kama watatu hawapo,ni halali kwetu kundelea na mkutano."...
Kampuni ya Mamba Minerals Ltd inayowekeza kwenye mradi wa madini adimu imeweka wazi mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kijijini Ngwala Mkoani Songwe...
Nakuonea sana Huruma japo Wanafiki na Wasiojua mambo ya Kimtambuka duniani watakupongeza na kukujaza Upepo, ila nina uhakika wa 100% hao hao baadae watakuacha peke yako na Wengineo kuanza...
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa...
Heshima kwa mabudha na bodhisattvas wote. Hivi ndivyo nilivyosikia wakati mmoja. Mwenye Baraka alikuwa akisafiri katika nchi ya Magadha alipofika kwenye shamba la mwembe. Katika shamba hilo la...
Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao.
Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha...
Bora wewe mzungu umesaidia kuwatoa watu ushamba na umbulula.
https://www.instagram.com/reel/DJxMl-tt2ic/?igsh=MTlqbDhqM2NneXU4cg==
My Take
Usipotoka kimaisha Afrika,hakuna mahala pengine unaweza...
Leo katika pita pita zangu wakuu nikaenda, kuna boss(HR) mmoja wa Rafiki angu akaniagiza nimletee vifaa vya umeme,
Basi katika kuniharakisha Ikabidi niazime gari kwa mwana niwahishe vifaa vile...
Watu wa kijijini au wilayani zaidi ya 4 nimekosana nao kwasababu ya issue za pesa. Mtu wa kijijini unaweza kumuahidi may be Jumatatu takutumia. Utatumia kauli zile ambazo possibility yake si 100%...
Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo.
Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu...
The Translation [
F.41.b] Homage to all buddhas and bodhisattvas. Thus did I hear at one time. The Blessed One was traveling through the land of Magadha when he arrived at a mango grove. At that...
Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k.
Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu...
Mit 27:1 SUV
[1] Usijisifu kwa ajili ya kesho; Kwa maana hujui yatakayozaliwa na siku moja.
Tunaweza tukawa na uhakika mkubwa juu ya kesho yetu, mipango yetu au malengo yetu yakawa na uhakika...
Hello!
Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa?
Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa!
Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni?
Haya!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.