Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,551
- 729,447
Kama kuna sehemu imeathiriwa kwa kiwango cha kutisha na ushirikina basi ni mahakama zetu, kumefukiwa madude kule si mchezo
Vifo vingi vya mahakimu wazee wa baraza na watumishi wa mahakama vingi vimejaa utata na vina mahusiano ya moja kwa moja na eneo lao la kazi na kesi wanazozisimamia
Pamoja na watu kufanya makosa mbali mbali kwenye jamii lakini hawako tayari kuukubali mkono wa sheria pale inapotokea wakakamatwa na ndio matatizo huanzia hapo
Watu wanabeba madubwana yao na kwenda kuyafukia pale wengine wanabeba na kuingia nayo kwenye vyumba vya mahakama na kwenda kuwadhuru wasiohusika
Ingekuwa serikali yetu inatambua uwepo wa uchawi ingeweka sheria ya kukagua watu kabla session za mahakama hazijaanza na kwenye vyumba vya mahakama kwakuwa wanaumizwa hata wasiohusika