Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu mfumo wa manunuzi serikalini kidigitali (National e-Procurement System of Tanzania) kwa kifupi NEST ni mfumo mzuri ambao utasaidia kupunguza upigaji na kuleta fair play kwenye kutoa tenda za...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilihitimu elimu ya juu kiwango cha shahada ya kwanza (Sheria). Ajira zinazotangazwa sana na serikali ni za wenye cheti, na diploma haswa utendaji wa Mtaa ambapo kwa sasa wanahitaji Certificate...
19 Reactions
56 Replies
6K Views
Kuna muda huwa tunabana pesa aidha kwa kununua bidhaa zilizotumika, bidhaa zenye ubora mdogo, kununua kitu cha dili, kujaribu kutumia bidhaa mbadala, n.k.lakini consequences zinatugharimu sana...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Hello, Mara nyingi nimesikia stori za watu kuwa kuna pesa za freemason,. Ingawa mimi binafsi naona ni utapeli ulioanzishwa na watu hasa mitandaoni ili kutapeli watu. Je, ni kweli kuna pesa za...
0 Reactions
12 Replies
975 Views
Habari za jioni wadau! Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio...
3 Reactions
130 Replies
14K Views
Baada ya kwenda South kwa nyakati mbili tofauti na kutembea maeneo mbalimbali tofaut, kwa ufupi nimezurura na maeneo mengi nayajua vizuri. Kuna vitu vingi sana sisi Watanzania tuna tofautiana na...
39 Reactions
100 Replies
11K Views
Assalaamu a'laykum. Waislamu na watanzania kwa ujumla wametakiwa kupata mafunzo na mazingatio kutokana na matukio yaliyotukia miaka ya nyuma katika kile kinachotambulika kama " vuguvugu la...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nakula chakula ambacho siyo chakula. Natamani kesho wangepumzika tu majumbani kwao nijipikie chai mwenyewe.
1 Reactions
10 Replies
578 Views
Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni...
1 Reactions
0 Replies
199 Views
SWALI : kwa nini watu wenye ibada pasipo na ukristo na uislamu.mbona dini zao ziko na pesa ? Naomba wasomi mtupe jibu je Kuna Siri Gani hapa . Atotoa jibu zuri Kuna zawadi ya group kuingizwa...
0 Reactions
7 Replies
446 Views
Katika tukio la kitaifa la kisayansi, Prof. Razack Bakari Lokina, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo anayesimamia Taaluma, Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ametoa wito wa...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Mkurugenzi wa fedha na utawala wa Gwajima umekosea tamko.Kanisa likifutwa mali za kanisa haziwi za Kanisa tena.Zinakuwa chini ya Kabidhi wasii mkuu wa serikali . Kanisa la ufufuo na uzima halipo...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho? 2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi? 3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
"Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
0 Reactions
2 Replies
285 Views
Hesabu hazidanganyi. Nenda mtandaoni angalia ajali mbalimbali, angalia ajali zinasababishwa na nini, na ajali zinazoua kwa wingi ni za namna gani. •Ajali za kugongana gari uso kwa uso wahanga ni...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu. Ila kwa huyu mama yetu...
21 Reactions
81 Replies
3K Views
Usimwage damu isiyo na hatia wala usimuonee mtu mnyonge, yatima, mjane au mtu ambaye hata ukimfanyia ubaya huwezi pata majibu ya maswali yako. Unaweza ukafikiri nina nguvu nina pesa na Mamlaka...
11 Reactions
27 Replies
3K Views
UBAKAJI, ULAWITI, UFIRAJI NA USHOGA HAVINA UHUSIANO WOWOTE NA HORMONAL IMBALANCE Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Chini ya hapo awe chini ya...
33 Reactions
287 Replies
15K Views
Katika zama hizi za migogoro, vita, na machafuko yanayotokea nje ya Afrika — kutoka Mashariki ya Kati, Ulaya Mashariki hadi Asia — swali linajitokeza: Je, haya ni matokeo ya historia ya ukoloni...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Back
Top Bottom