Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetumia takribani shilingi bilioni 107.36 kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote 474 vya Mkoa wa Simiyu.
Kapinga...
Watu tisa wamefariki dunia papo hapo na wengine 44 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Hai kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba shehena ya sukari katika eneo la Lugono Melala...
Watu 28 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa vibaya kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea usiku wa Juni 7, 2025 majira ya saa mbili usiku, katika eneo la mteremko wa Mbalizi, mkoani...
Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala...
Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni:
1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka.
– Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu...
Ni kijana Sasa huku nautazamia uzee huo unakaribia .
Kawaida yangu nilikuwa na puuza sana ndoto Kila nikiota na ipuuza sitilii maanani!
Nikiwa mdogo sana almost miaka 7 hapo sijaanza shule Kwa...
Mkoa wa Mbeya ni Kati ya Mikoa mitano iliyopo Nyanda za Juu Kusini sanjali na Mikoa ya Ruvuma, Iringa, Songwe, Njombe na Rukwa. Mbeya ilianzishwa mwaka 1961.
Mkoa wa Mbeya umejaaliwa kila kitu...
Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu kaja kulikomboa bara la Afrika na kubwa zaidi Dunia Nzima Amani na upendo ndio Nguzo ya udugu wa Msalaba na Nyota
Dunia tuna kila kitu ila Hatuna...
Wizara ya Fedha kupitia Idara ya Sera za Usimamizi wa Ununuzi wa Umma, imeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari wa mitandao ya kijamii kuhusu mnyororo wa ugavi, ikiwa ni juhudi za...
Madhara ya hii vita
Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu
Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja.
Tatizo ni muda Israel hampi...
Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika.
Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa.
Sasa ni kitu gani kilicho sababisha...
Hello wana JF;
Leo nimekuja na hii Mada kwaajili ya kujifariji na kuwafariji wengine,
Ipo hivi; Dunia ni kama Darasa, na kila mwanafunzi ana uelewa wake katika kumwelewa Mwalimu.
Sote katika...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili Askari Polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kabla ya zoezi...
Cyanide ni kemikali yenye sumu kali inayoweza kusababisha kifo ndani ya muda mfupi baada ya kuvuta, kula, au kugusa. Mara nyingi cyanide hupatikana katika hali ya kimiminika katika fomu ya...
Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege.
Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege...
Ndio maana Serikali inayoongozwa na CCM hawasemi chochote kuhusu malalamiko ya wazazi na wanafunzi kuhusu utaratibu huu mbovu wa kuendelea kubakiza watoto shuleni wakati wa likizo, ili wafanikishe...
Umiliki na Usajili wa Mali
Wapenzi wageni, mabibi na mabwana, leo tunakusanyika kujadili mada muhimu inayohusiana na umiliki na usajili wa mali. Katika ulimwengu wa kisasa, neno "usajili"...
Habarini,
Ni wazi hili la mali za serikali kuu na taasisi zake kutokamatwa kwa utekelezaji wa amri za mahakama linawapa viburi viongozi wa serikali hasa pale wananchi wanaposhinda kesi za madai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.