Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na...
Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana...
Wana JF, siku zote nina akili ya udadisi sana. Hili swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sana. Kwamba zile siku Raisi Magufuli anaonekana ni wazi atakufa na hata akiwaita Mkuu wa Majeshi na...
Nimekuwa nikinunua bidhaa ndogo ndogo kupitia mtandao wa AliExpress lakini kimbembe ni malipo ya Posta. Yani inaonekana ni km wanakadiria hawapimi uzito wa parcel wala hawatoi Control number ya...
Katika jamii yoyote inayotawaliwa kwa misingi ya haki na usawa, wananchi wanapaswa kuwa kiini cha mipango ya maendeleo ya taifa. Hata hivyo, hali imekuwa tofauti katika maeneo mengi ambapo...
1.Ni muda mrefu sasa sijapost thread yoyote nimekuwa na maisha mazuri Sana japo yenye changamoto nyingi.mambo ni mengi but najiskia pia faraja hatimaye nimekuwa Baba,Baba grace amezaliwa ana kama...
Newton 3rd law of motion iko very clear kusema
"......for every action there is an equal and opposite re-action...."
Kwa ufafanuzi rahisi kwa Kiingereza hichohicho, maana yake ni kuwa👇...
Ni 2 : 40Am nimemuona niliamka alikaa karibu na jiko Mimi muoga vibaya naombeni msaada nitumie njian gani kumtoa Alafu haonekani na nipo kitandani sijashuka nimeshusha na net kabisa
Msaada je...
Kuna mablankenti ukilalia unajikuta unakohoa sana. Usipolilalia unakuwa sawa. Ni kama yana materials mabaya yenye kuleta allergy. Hatujui madhara mengine yanayoweza kuleta kwenye mfumo wa upumuaji...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imesema haitatoa muda wa nyongeza kwa waandishi wa habari kujisajili,na kwamba kufanya kazi za kihabari bila usajili ni kosa kisheria.
Kaul hii...
Wakuu nimekua abiria mwaminifu wa mabasi ya Kilimanjaro Express kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
Zamani huduma zilikua nzuri lakini kwa miaka ya hivi karibuni huduma yao imekua mbovu na magari...
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe...
Mpo salama!
Tunajua kabisa Iran inaonewa na kudhulumiwa lakini ndivyo mambo ya falme na tawala za dunia zilivyo. mdogo kumtii Mkubwa. Na kama mdogo akikaidi basi njia zozote hata zisizo halali...
Leo Juni 17, 2025 miili ya wale wanandoa ambao inadaiwa walikutwa wamechinjwa chumbani kwao Juni 12, 2025, inaagwa muda huu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bonyokwa, Ilala Dar es Salaam...
Katika filamu ya Borat: Cultural Learnings of America for Make Benefit Glorious Nation of Kazakhstan (2006), kulikuwa na tukio la kushangaza sana nyuma ya pazia ambalo linachukuliwa kama moja ya...
(1) Kwanini kuna makocha maalum wa makipa na hakuna makocha maalum wa forwards, mildfilders au mabeki??
(3) Kwanini wachezaji wengi wastaafu wakiamua kuwa makocha basi ni wale mabeki, forwards au...
WIZARA ya Maji imezindua na kukabidhi kisima cha Maji chenye uwezo wa kuzalisha lita 12000 kwa siku ambacho kitahudumia watu 120 wanaoishi katika eneo la Shule ya Msingi ya Buigiri wasioona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.