Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha? - Magonjwa haya...
26 Reactions
313 Replies
12K Views
Ndio maana mara kwa mara nimekuwa nikiandika nyuzi hapa kukosoa watu kulipa mamilioni kwenye shule zinazo fuata mtaala wa Necta( EMS) kwa sababu there is nothing worth paying there. Wasomi wa...
3 Reactions
9 Replies
556 Views
Kibongo bongo Ili utoboe inahitajika unafiki wa kiwango Cha mossad (SGR).....Ili kufanikisha projects zako Since wabongo wakishaona una dalili za kujipata Kila mtu atataka utatue shida zake hata...
13 Reactions
45 Replies
2K Views
Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao . Ghafla tukaanza kusikia malumbano Sauti Kali ya konda...
80 Reactions
63 Replies
3K Views
Mvinyo ni uleule kilichobadilika ni chupa tuu... Chama dola kilifanya figisu ili vyama visiwe na vikundi vya ulinzi...Na sheria ikapitishwa kwenye hili...Hii yote ilitokana na chama kikuu cha...
19 Reactions
86 Replies
11K Views
Yesu aliomba kwa kusujudu. "Akaanguka kifudifudi, akaomba."_ (Mathayo 26:39) sio kuimba au kukesha kwa makelele. Yesu aliwasalimu kwa amani. "Amani iwe nanyi." 《Assalam alykum) kama waislamu...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Imeelezwa kwamba, tangu Tanzania ijiunge na Asasi ya Kimataifa ya EITI iliyopo nchini Norway, imetoa kwa umma ripoti 14 za TEITI kwa kipindi cha kuanzia Julai 2008 hadi Juni, 2022. Aidha, kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
296 Views
Mungu wako na Mungu wetu ni Mungu mmoja kwa kuwa kuna Mungu mmoja tu kama ilivyoandikwa katika. "Shema" (Kumbukumbu la Torati 6:4) na Marko 12:28, na kama inavyoainishwa katika kanuni ya kwanza...
2 Reactions
86 Replies
3K Views
TANZANIA NA BENKI YA DUNIA WAJADILIANA UTEKELEZAJI MPANGO MAHSUSI WA NISHATI WA MISHENI 300 📌 Mhandisi Mramba aeleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza Misheni 300 📌 Benki ya Dunia...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Directorate of Criminal Investigations (DCI) ndio mwenye ruhusa nyingi za Kenya kuwa na mfumo wa polisi kwenye kitengo chake kila idara ila hapa kwetu .Nimeshangaa yule mwenye shaidi kuwa kama...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
KUANZISHWA Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST) ni Kampuni ya Kitanzania, iliyoanzishwa mwaka 2011, ikiwa na dhamira ya kuendeleza biashara ya madini kwa njia shirikishi na endelevu. Imekuwa...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
ADHABU YA KUUA NA KUCHOMA MOTO ILIVYOMALIZA TATIZO LA WIZI – ENEO LA FOKOLAND na NDOLA - VITUKA Kabla hujasoma naomba nieleze hili vizuri; siungi mkono adhabu ya kuchomwa kwa mwizi ama kibaka...
35 Reactions
54 Replies
11K Views
Ndege ndogo ya Fly Zanzibar yatua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume (AAKIA) baada ya hitilafu ya gia ya kutua Ndege ndogo inayomilikiwa na Fly Zanzibar...
0 Reactions
1 Replies
541 Views
Wataalamu na watafiti wa elimu ya mendeleo ya watoto wadogo wanaamini kuwa zaidi ya asilimia 90 ya maendeleo ya ubongo hutokea kati ya kipindi cha umli wa mwaka mmoja (1) hadi miaka mitano (5)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya. Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara...
0 Reactions
8 Replies
453 Views
My Take Kazi kubwa ya kufungua Uchumi wa Nchi inayofanywa na Serikali ya awamu ya 6 imevutia ubia wa mradi wa zaidi ya Bilioni 800. Dar kupata muonekano Mpya...
2 Reactions
15 Replies
499 Views
Wakuu hii sijui imekaaje yani kila ikifika miezi ya karibuni ya siku yangu ya kuzaliwa hali ya maisha inakuwa ngumu Sana. Hadi inafika siku ya kuzaliwa yenyewe najikuta hali ni tete hata hela ya...
2 Reactions
7 Replies
407 Views
Tume ya Madini imeendelea kunadi fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta ya madini kupitia ushiriki wake kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea kufanyika katika Viwanja...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Back
Top Bottom