Niaje niaje.............hivi nyie Dstv ni watoa huduma kwenye hii tanzania kweli au mko sa? pesa mnapokea harafu mnaladhimisha mtu apande kifurushi ili agundue nini?? Ili amuangalie huyo kim...
Wakuu poleni na majukumu.
Nahitaji gas grill kwa ajili ya matumizi ya nyumbani. Wengine wanaziita tabletop gas grills.
Nishaulizia sana madukani ila naonyeshwa vitu sio.
Ni jiko maalum la...
NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 20/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
NYOTA YAKO LEO ALHAMIS JUNI 19/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Ndugu mkurugenzi napenda kukutaarifu kama mtanzania mzalendo na mwenye wivu mkubwa na ubora wa elimu yetu niliandika kupitia mtandao huu wa Jamii Forums juu ya matendo yasiyofaa yanayofanyika ktk...
Nakumbuka nikiwa nasoma Sheria katika Chuo X kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi kutuambia Darasani katika somo la Constitutional Law akatudokeza kwamba ukiwa Mwanasheria usipende kukubari kila kitu...
“Tunahamasisha ulinzi shirikishi wa miundombinu kwa kushirikiana na wananchi katika kutoa taarifa kuhusu vitendo vya kihalifu kama vile wizi wa umeme, uharibifu au wizi wa vifaa vya umeme. Hili ni...
Yesu hakuwahi kula nyama ya nguruwe Hapa ni rejea zilizotajwa na ufafanuzi:
1. Kumbukumbu la Torati 14:8
"Nguruwe... ni najisi kwenu msiile nyama yake, wala msiguse mizoga yao."
2. Mambo ya...
Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na...
Sababu za mtu kubeba au kusema maneno makali, machafu, au ya laana zinaweza kuwa nyingi na zinahusisha nyanja za kiroho, kihisia, kisaikolojia, na kijamii. Hapa chini ni maelezo ya kina kuhusu...
Ktk harakati za kimaisha huwa inatokea mtu akaamua kufake Kitu flani mf mavazi, sauti ama maandiahi ili tu atimize haja zake flani flani, wapo wanaofake identity, wapo wanaofake Elimu, wengine...
KIBONGOBONGO HAYA NI MAFANIKIO MAKUBWA KWAKO KIJANA UKIWA NAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Siandiki kukusifia, au kukufanya uridhike. Najaribu kukueleza kuwa lazima ukubali kuwa umepambana na...
Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya...
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji.
Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imewataka wasafiri wa ndege ndani na nje ya nchi kutositisha safari zao kutokana na hofu ya tangazo la Umoja wa Ulaya (EU) kuhusu kuzuia baadhi ya...
Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya...
Habari za mida Wakuu,
Baada ya majukumu na pilika za maisha leo, usiku huu nimepata muda wa kupitia habari na kuna habari imenishtua sana, naomba kuwakilisha kwenu.
Wakati DPP wa Kenya...
DUNSTAN KITANDULA: UTALII NA MADINI ZINACHANGIA KWA PAMOJA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA
SERIKALI imesema sekta ya madini na utalii ni nguzo muhimu zinazotegemeana katika kukuza uchumi wa Tanzania...
KIFARU
KIFARU ni mnyama aliye mkubwa sana na mnene kabisa. Ingawa watu husema kwamba makao yake ni Afrika, wako wengine wa jamii yake Bara Hindi na Java na Sumatra; tena ziko alama za vifaru wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.