Kosea yakutoke sehemu ya watu wengi ndo utajua.
Unajijambia ofisini mara anakuja mtu kabla ya ile scent haijaondoka.....unatafuta kwa kuweka sura.
Bwana mmoja alikuwa anacheza draft, sasa...
Mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umebeba historia ndefu inayohitaji muda mrefu kuielezea, lakini nitajaribu kuifupisha kwa kuangazia mambo machache muhimu.
Mpelelezi wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nasema Kwa dhati ya moyoni ndugu zetu ni wakarimu sana kutuzidi.
Mimi ni Mkiristo lakini nitumie fursa hii kuwapongeza sana Waislamu walio kwenye mfungo Kwa kuonyesha...
Wakuu
Baada ya kilichotokea kwenye uchaguzi mkuu wa 2020, CHADEMA ilipata mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ambaye ni Aida Kenani muwakilishi wa Jimbo la Nkasi.
Aida ni ishara ya wanawake...
Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;
1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni...
Wakuu by age nina 25
Mwaka huu ndio nahitimu shahada yangu ya kwanza kwenye masuala ya maendeleo ya jamii.
Nina Biashara ambayo inauhakika wa kunipa 500k kila mwezi ambayo naweza kuifanya mara...
Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu...
Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
Leo ikiwa ndiyo hitimisho la likizo ya siku 60 alizopewa Mchungaji Kimaro akiwa pia amepewa msamaha na Kiongozi wake mkuu Dr Malasusa
Mchungaji Kimaro amerejea tena Kanisani Kijitonyama ambapo...
Vita vya nuclear vyaja. .. mfumo wa maisha unaenda kubadilika.
Yanini kulipa hela EMS wakati vita ya dunia yanukia? ..
Kama elimu unayo lipia haina uwezo wa kutengeneza maarifa yatakayo saidia...
Nchi ya Saudia inaingiza mabilioni ya dola tokana na hija ambayo, kimsingi, ni kwenda kuzuru makaburi ya waarabu na kutupatupa mawe na kukimbia hovyo kama vichaa kwenye vilima vyao.
Je Afrika...
Wakuu Mmiliki wa Mabasi ya Tavavili Ndugu Max Komba Amefariki Dunia Jana usiku.
.
Bwana Komba alikuwa anasumbuliwa na Kisukari Kwa Mda Mrefu.
.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe...
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO.
Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
Naomba msaada kwa anayeijua vizuri Ngerengere, nina wageni wanataka kwenda huko je kunapatikana lodgings nzuri? Bei gani? Je upatikanaji wa chakula upoje? Na umbali gani kutoka stesheni ya sgr...
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni...
Pesa ni sabuni ya roho , nazani bada ya MUNGU, familia pesa zinafuata, kwa akili zangu na experience yangu mtaani hali ya maisha mtaani ni ngumu sana no money here, nimekumbuka miaka ya 2010 -2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.