Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Kwa taaluma, Dkt. Kimambo ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, na...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Mstaafu, Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Hello wana Jukwaa; Kama nlivyotangulia kusema kuwa mimi sio Mtabiri, wala mfuatiliaji wa siasa kiviile na sijui mengi katika mambo ya siasa. Ila mimi huaga hata katika maisha yangu ya kawaida...
11 Reactions
11 Replies
858 Views
Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha...
131 Reactions
500 Replies
49K Views
Tembea ufurahi
7 Reactions
18 Replies
635 Views
Mchezo wa mpira wa miguu – hatua ya fainali unatarajiwa kufanyika kwa shamrashamra kubwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Makatifu John (St. John’s University), jijini Dodoma. saa tisa Jioni...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Wafuasi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Wafanya Ibada Licha ya Uwepo Mkubwa wa Polisi Licha ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi katika maeneo ya karibu na Kanisa la Ufufuo na Uzima, lililopo Ubungo...
1 Reactions
5 Replies
694 Views
Nimejiuliza sana Aisee sijui kwanini mikoa Mingi ambayo waislamu ni wengi imestaarabika sana kuzidi ile mikoa ambayo ni dini nyingine ndiyo wengi? Mikoa mingi ambayo waislamu ni wengi kuna vitendo...
2 Reactions
79 Replies
2K Views
Ndivyo ilivyokuwa hata wakati wa vita kuu ya pili Lucas Mwashambwa jiunge Mgambo fursa ya kulipwa kwa US Dollars inanukia uachane na Buku 7 Dominica njema 🙏
1 Reactions
16 Replies
512 Views
Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
1 Reactions
10 Replies
657 Views
Basi kwa namna hio aliandaa kimya kimya njia za kutetemesha mamlaka ambazo hakuzipenda. Alifadhili machafuko kwa namna ambayo hakuonekana alihusika na walileta maafa makubwa. Kila mkono wa...
3 Reactions
20 Replies
861 Views
Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu...
10 Reactions
61 Replies
2K Views
Anonymous
Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa...
0 Reactions
5 Replies
483 Views
https://youtu.be/WoGgc1REXVs?si=BFq4agf_-SmdHbvV
0 Reactions
0 Replies
236 Views
TO na uongozi wa hospitali hiyo wanatoza lita 120 na chakula na posho kwa kila mgonjwa kwa mgonjwa kutumia ambulance kwenda mbeya na badae kuwasilisha receipt za mafuta na kuchukua fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Inatokea watanzania tumeamua kwa pamoja kuwa wafugaji na katika ufugaji huo tukaamua kwa umoja wetu tufuge wanyama wawili tu, NGAMIA na NGURUWE. Na kwakuwa kuna uhaba wa malisho tukaona ni vyema...
1 Reactions
11 Replies
519 Views
Jana mnamo majira ya saa 8 usiku, tukio la kutisha lilitokea. Bodaboda mmoja alishambuliwa kikatili na kupigwa visu sehemu nyingi za mwili wake. Kichwa na tumbo vilikuwa shabaha kuu, damu...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Kumekuwa na utaratibu wa kikodi wa kiholela sana unaocha mianya ya rushwa ya wazi kabisa kwa Ofisi ya Madini hasa kwa eneo nililolitaja, nadhani utaratibu huu unatumika kote nchini, hapa wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Mbwa wangu jana usiku aliona kitu cha kutisha. Kuna mnyama aliingia na mbwa wangu alimfukuza akiwa ndani ya fensi ambayo siyo rahisi kuiruka kwa sehemu kubwa. Baada ya hilo tukio anakuwa kama...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Mbaba ameoa akamkabidhi mkewe kadi zake za benki wakiwa ukumbini mbele ya wazazi, ndugu na marafiki. Amekazia kwa kusema “Upendo ni maumivu atafanya kazi kwa jasho ili mkewe ale na awe ndiye...
10 Reactions
116 Replies
3K Views
Back
Top Bottom