Karibuni mitaani muone Vijana wamezika ndoto zao kwa sababu ya umaskini...
Karibuni mitaani muone vipaji vilivyofeli kwa kukosa support...
Karibuni mitaani muone Degree zilivyojaa Kwenye vijiwe...
Tunaomba tupazieni sauti watumishi kada ya Elimu ajira mpya kwa miezi zaidi ya 4 Sasa tangu Februari hatujalipwa pesa za kujikimu ili hali ni haki ya mtumishi mpya kumsaidia kujipanga na mazingira...
Kwanza kabisa mimi sio Mtaalamu na baada ya kuangalia kwa haraka matakwa ya pande tofauti nimeona ni vigumu sana kwa upande mmoja kukubaliana na matakwa ya upande mwingine kutokana na usalama wao...
Utapoteza muda wako bure ukisali hivi: "Bikira Maria Mtakatifu Mkingiwa dhambi ya asili, Mlinzi wa Taifa letu. Utuombee." Sala hiyo haina mashiko kwa sababu zifuatazo:
Kibiblia, hakuna sehemu...
Habarini wadau,
Licha ya serikali kupitia bank kuu kufutia baadhi ya taasisi zinazotoa mikopo inayoumiza katika hali ya kusikitisha kampuni hizi bado zipo wadau!!
Tarehe 13/06/2025 nilikopo...
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Mbona kama miaka liliyochukua kujengwa na kufikia hapo lilipo ni mingi kuliko MATOKEO , au Kuna mambo ya ziada tupeni Shule na UFAFANUZI. nahisi ni zaidi ya miaka mitatu
Ya Mungu Mengi, ya Kuku Mayai
Utangulizi
Methali ya Kiswahili isemayo "Ya Mungu mengi, ya kuku mayai" ni methali yenye maana pana na yenye mafundisho tele. Methali hii hutufundisha kwamba Mungu...
Ukiwa katikati ya mji wa Arusha, maeneo ya stendi kuu, soko kuu, jogoo house, kilombero na maeneo mengine kuna foleni sana.
Foleni ya mabasi makubwa, coaster, bajaj, bodaboda hadi foleni ya...
Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti...
Habari Wakuu!
Kwenye haya maisha wapo watumwa na wapo watu walio huru. Utumwa ninao uzungumzia hapa si ule ambao tulifundishwa mashuleni bali ni ule wa mtu kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake...
Ukiacha zoezi zima la kuzuia ujenzi usio na kibali kugubikwa na Rushwa, wanaodai kulipia hivyo vibali wanadai wamelipa mkononi bila kupewa control number.
Lakini kisheria ni halali kulipia hivyo...
Jamii forum vip ? mashasham yote aya ya Xmass na Mwaka mpya dunia nzima apa bado ziiiiiiiiiiiii
Ebu tupe kitu angalau kwa home page apa,au kuna tarehe za kubadili laiti ningekuwa nakumbuka mwaka...
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 22/2025:
UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI...
Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa...
Mradi PMI Dhibiti Malaria mikoa ya Kusini Pwani, Lindi, Mtwara na Ruvuma kuna uonevu kwa iCCM providers kwa miezi mitano hawajaripwa na waliahidiwa kusaini mikataba ya kazi nalo bado hawajafanyia...
Habarini,
Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani.
Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua...
Huu ni wizi kwani kadi hiyo siyo smart na ina namba kwanini zisitumike namba tu kumtambua mteja iwapo kapoteza kadi.
Kila kitu serikali imegeuza kitega uchumi tutafika kweli?
Iran anaenda kufunga bahari mafuta yatapanda na Samia atapata sababu ya kupandisha bei ya vitu.
Vita hii inaenda kuitumbukiza dunia kwenye shida zaidi, Iran anaenda kufunga lango la bahari.
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.