Chapa ya Made in Tanzania kuanza kutumika

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,280
Reaction score
3,946
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanikisha hatua ya pili ya mchakato wa kuandaa Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark), alama maalumu itakayotambulisha bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini Tanzania kwa matumizi ya ndani na usambazaji kimataifa, chini ya kaulimbiu ya “Made in Tanzania.”

Akizungumza Dar es Salaam, leo Jumatano Juni 11, 2025 Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa TanTrade, Lucy Mbogoro amesema hatua ya awali ya mchakato huo ilihusisha mwitikio mkubwa kutoka kwa wabunifu wa Kitanzania waliotuma jumla ya bunifu 88 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

“Tulipokea jumla ya alama 88 kutoka kwa wabunifu mbalimbali. Baada ya tathmini ya awali, bunifu 6 zilichaguliwa kuingia hatua ya pili ya mchujo,” amesema Mbogoro.

Ameongeza kuwa wabunifu hao sita walipatiwa mafunzo na fursa ya kuboresha bunifu zao, na hatimaye alama tatu bora zimechaguliwa. Alama hizo sasa zimewekwa hadharani kwa umma kupiga kura kupitia mfumo wa mtandao, ili kuchagua alama moja itakayokuwa alama rasmi ya Taifa ya bidhaa na huduma za Tanzania.

“Tunawahimiza Watanzania wote kuchangia kwa kupiga kura ili kuchagua alama bora zaidi ile inayowakilisha vyema ubora, asili, na utambulisho wa bidhaa zetu kwenye soko la dunia,” amesisitiza Mbogoro. Mshindi wa shindano hili atatangazwa siku ya uzinduzi rasmi wa alama ya Taifa, tarehe ambayo itatangazwa hapo baadaye

chanzo: Mwananchi_official
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanikisha hatua ya pili ya mchakato wa...jpg
 
‎Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade.
‎
‎
‎
‎Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram search - Tantradetz (hapa haturuhusiwi kuweka links). Ni kitendo cha dakika 2 tu.
‎
‎
‎
‎Kwa sababu JF imenilea na kunikuza katika tasnia ya ubunifu wa nembo, lakini pia kimsingi, nimejuana na mamia ya wateja kupitia platform hii.
‎
‎
‎
‎Nawaombeni wateja wangu pamoja na umma kwa ujumla kunipigia kura katika shindano hili.
‎
‎Kimsingi, ninatamani kabla ya uhai wangu kunitoka niwe nimeacha alama yenye mchango wa kimaendeleo ktk taifa langu pendwa Tanzania. Ingawa bado ninatamani uhai na kuzidi kumuomba Mola Muumba anijaalie umri mrefu ili nizidishe ufanyaji wa matendo mema.
‎
‎
‎
‎ Maelezo ya nembo yangu
‎
‎
‎
‎1. Rangi za bendera = Utaifa na utambulisho wetu, values na umoja wetu.
‎
‎
‎
‎2. Nyota = Nuru, ubora, ufaulu, ushindi, weledi, ubunifu (creativity) na uvumbuzi ( innovation). Space.
‎
‎
‎
‎3. Mishale (Arrows) = "motion/movement", import na export na kusonga mbele (kufikia malengo)
‎
‎
‎
‎4. Umbo mraba (square) katikati = Bidhaa na huduma (uwepo/upatikanaji wake).
‎
‎
‎
‎5. Nembo ina ncha 8 = Dira (compass), dunia, uongozi bora (imaging captain in the ship), uelekeo sahihi na ugunduzi (imaging explorers navigation).
‎
‎
‎
‎6. Umbo la mzunguko wa nembo pia linaashiria gear (manufacturing and production) na pia mzunguko/duara vinaashiria movement, process, mwendelezo wa mambo (masuala endelevu).
‎
‎Aidha pia nyota ni ishara ya nguvu (power) na mafanikio. Ushahidi wa hili ni uwepo wa nyota katika bendera za mataifa yenye nguvu duniani kama Amerika, China na Urusi. Sijui hapa naweza kuitaja pia Korea kaskazini? maana bendera yake pia ina nyota.
‎
‎Natanguliza shukran zangu na Mbarikiwe sana. Asanteni.
 
Kura Tunapigia wapi ?
Nenda kwenye account ya Tantradetz Instagram.
  • Bofya post ya kwanza kushoto (utaona in nembo 3)
  • Fungua sehemu ya comments na utapelekwa ktk ukurasa wa kupiga kura.
  • utaona vitufe 3 (3 horizontal bars) zenye herufi A, B na C.
  • Bofya ktk herufi A. Utakuwa tayari umeshinipigia kura.
Ni kitendo cha dakika 1:30 tu
Equivalent to 90 heartbeats.

Natanguliza shukran zangu. Asante sana
 
‎Salaam. Heshima yangu kwenu nyote.
‎- Kuna wadau wengi sn nimefanya nao kazi humu since 2013. Tafadhalini sn naomba support zenu.
‎- Malegend wa humu ambao kila siku nasoma post zenu pamoja na
‎- Generation Z nao wote naombeni support zenu.
‎Natanguliza shukran zangu kwenu nyote ikiwa ni pamoja na kuwaombea Mola Muumba awajaalie baraka tele maishani.
 
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanikisha hatua ya pili ya mchakato wa kuandaa Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark), alama maalumu itakayotambulisha bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini Tanzania kwa matumizi ya ndani na usambazaji kimataifa, chini ya kaulimbiu ya “Made in Tanzania.”

Akizungumza Dar es Salaam, leo Jumatano Juni 11, 2025 Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa TanTrade, Lucy Mbogoro amesema hatua ya awali ya mchakato huo ilihusisha mwitikio mkubwa kutoka kwa wabunifu wa Kitanzania waliotuma jumla ya bunifu 88 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

“Tulipokea jumla ya alama 88 kutoka kwa wabunifu mbalimbali. Baada ya tathmini ya awali, bunifu 6 zilichaguliwa kuingia hatua ya pili ya mchujo,” amesema Mbogoro.

Ameongeza kuwa wabunifu hao sita walipatiwa mafunzo na fursa ya kuboresha bunifu zao, na hatimaye alama tatu bora zimechaguliwa. Alama hizo sasa zimewekwa hadharani kwa umma kupiga kura kupitia mfumo wa mtandao, ili kuchagua alama moja itakayokuwa alama rasmi ya Taifa ya bidhaa na huduma za Tanzania.

“Tunawahimiza Watanzania wote kuchangia kwa kupiga kura ili kuchagua alama bora zaidi ile inayowakilisha vyema ubora, asili, na utambulisho wa bidhaa zetu kwenye soko la dunia,” amesisitiza Mbogoro. Mshindi wa shindano hili atatangazwa siku ya uzinduzi rasmi wa alama ya Taifa, tarehe ambayo itatangazwa hapo baadaye

chanzo: Mwananchi_officialView attachment 3365730

Kuna ubunifu gani kwenye hizo chapa jamani?
 
Hizo alama zimeundwa na fisadi mmoja ...ukitumia akili tu utajua, maana zina fanana kwa asilimia 90% ...hapo wabunifu halisi wameondolewa na kubakishwa walio ndani ya mfumo uliopangwa kifisadi kisha ndiyo tunaambiwa,tupige kura kumbe tunatumika tu kuhalalisha ufisadi wa wakina ROSTAM AZIZI...labda wakawadanganye wapuuzi wa misikitini na misukule ya makanisani ila siyo mimi..
Maana faida ya dini kwa sasa ni mbili tu....moja UISLAMU UNAWAGEUZA WAISLAMU KUWA "WAPUMBAVU" NA YA PILI WAKRISTO WANAGEUZANA KUWA "MISUKULE"...hivyo

Wapumbavu + misukule=?
 
Hizo alama zimeundwa na fisadi mmoja ...ukitumia akili tu utajua, maana zina fanana kwa asilimia 90% ...hapo wabunifu halisi wameondolewa na kubakishwa walio ndani ya mfumo uliopangwa kifisadi kisha ndiyo tunaambiwa,tupige kura kumbo tunatumika tu kuhalalisha ufisadi wa wakina ROSTAM AZIZI...labda wakawadanganye wapuuzi wa misikitini na misukule ya makanisani ila siyo mimi..
Maana faida dini kwa sasa ni mbili tu moja UISLAMU UNAWAGEUZA WAISLAMU KUWA "WAPUMBAVU" NA YA PILI WAKRISTO WANAGEUZANA KUWA "MISUKULE"...hivyo

Wapumbavu + misukule=?
Naona nikujibu kwa kile ambacho kipo ndani ya uelewa wangu. Nembo zote 3 zimebuniwa na watu 3 tofauti. Nembo A mbunifu ni mimi... niko Dodoma. Nembo B... mbunifu yuko Dar. Nembo C... mbunifu yuko UDOM. Font (maandishi) waliyobandikwa ktk nembo zote 3 ni ubunifu wangu mimi. Nembo B na nembo C waliSubmit originals zao zikiwa font walizozibuni wenyewe lakini naona watayarishaji walizotoa na wakaona ni vyema kutumia font niliyoibuni mimi kwa hizo nembo zote 3.
Hilo ndio jibu sahihi kuhusiana na hilo. Hayo mengine siyajui bro.
 
kwaiyo mdau yupo sahii
 
‎Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade.
‎
‎
‎
‎Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram search - Tantradetz (hapa haturuhusiwi kuweka links). Ni kitendo cha dakika 2 tu.
‎
‎
‎
‎Kwa sababu JF imenilea na kunikuza katika tasnia ya ubunifu wa nembo, lakini pia kimsingi, nimejuana na mamia ya wateja kupitia platform hii.
‎
‎
‎
‎Nawaombeni wateja wangu pamoja na umma kwa ujumla kunipigia kura katika shindano hili.
‎
‎Kimsingi, ninatamani kabla ya uhai wangu kunitoka niwe nimeacha alama yenye mchango wa kimaendeleo ktk taifa langu pendwa Tanzania. Ingawa bado ninatamani uhai na kuzidi kumuomba Mola Muumba anijaalie umri mrefu ili nizidishe ufanyaji wa matendo mema.
‎
‎
‎
‎ Maelezo ya nembo yangu
‎
‎
‎
‎1. Rangi za bendera = Utaifa na utambulisho wetu, values na umoja wetu.
‎
‎
‎
‎2. Nyota = Nuru, ubora, ufaulu, ushindi, weledi, ubunifu (creativity) na uvumbuzi ( innovation). Space.
‎
‎
‎
‎3. Mishale (Arrows) = "motion/movement", import na export na kusonga mbele (kufikia malengo)
‎
‎
‎
‎4. Umbo mraba (square) katikati = Bidhaa na huduma (uwepo/upatikanaji wake).
‎
‎
‎
‎5. Nembo ina ncha 8 = Dira (compass), dunia, uongozi bora (imaging captain in the ship), uelekeo sahihi na ugunduzi (imaging explorers navigation).
‎
‎
‎
‎6. Umbo la mzunguko wa nembo pia linaashiria gear (manufacturing and production) na pia mzunguko/duara vinaashiria movement, process, mwendelezo wa mambo (masuala endelevu).
‎
‎Aidha pia nyota ni ishara ya nguvu (power) na mafanikio. Ushahidi wa hili ni uwepo wa nyota katika bendera za mataifa yenye nguvu duniani kama Amerika, China na Urusi. Sijui hapa naweza kuitaja pia Korea kaskazini? maana bendera yake pia ina nyota.
‎
‎Natanguliza shukran zangu na Mbarikiwe sana. Asanteni.
Nmekupigia mzee kupitia sm yangu na wife na washkaj zangu wa5
 
Taarifa hiyo imetolewa jana Juni 11, 2025 na Meneja wa Uhusiano kwa Umma na masoko wa Tan Trade Lucy Mbogoro jijini Dar es Salaam akiwahimiza wananchi kuchangia kwa kupiga kura kuchagua miongoni mwa alama zilizochujwa kutumika kama chapa bora ya utambulisho wa bidhaa za Tanzania
===

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) imefanikisha hatua ya pili ya mchakato wa kuandaa Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark), alama maalumu itakayotambulisha bidhaa na huduma zinazozalishwa nchini Tanzania kwa matumizi ya ndani na usambazaji kimataifa, chini ya kaulimbiu ya “Made in Tanzania.”

Akizungumza Dar es Salaam, leo Jumatano Juni 11, 2025 Meneja Uhusiano kwa Umma na Masoko wa TanTrade, Lucy Mbogoro amesema hatua ya awali ya mchakato huo ilihusisha mwitikio mkubwa kutoka kwa wabunifu wa Kitanzania waliotuma jumla ya bunifu 88 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.

“Tulipokea jumla ya alama 88 kutoka kwa wabunifu mbalimbali. Baada ya tathmini ya awali, bunifu 6 zilichaguliwa kuingia hatua ya pili ya mchujo,” amesema Mbogoro.

Ameongeza kuwa wabunifu hao sita walipatiwa mafunzo na fursa ya kuboresha bunifu zao, na hatimaye alama tatu bora zimechaguliwa. Alama hizo sasa zimewekwa hadharani kwa umma kupiga kura kupitia mfumo wa mtandao, ili kuchagua alama moja itakayokuwa alama rasmi ya Taifa ya bidhaa na huduma za Tanzania.

“Tunawahimiza Watanzania wote kuchangia kwa kupiga kura ili kuchagua alama bora zaidi ile inayowakilisha vyema ubora, asili, na utambulisho wa bidhaa zetu kwenye soko la dunia,” amesisitiza Mbogoro. Mshindi wa shindano hili atatangazwa siku ya uzinduzi rasmi wa alama ya Taifa, tarehe ambayo itatangazwa hapo baadaye

chanzo: Mwananchi_officialView attachment 3365730
Hawahitaji rangi za bendera...wachague font nzuri tu ya Made in Tanzania ai Product of Tanzania. Hamna sababubya "fahari ya Tanzania" wala nini....Kuna nchi moja tu inaitwa Tanzania.
 
Naona nikujibu kwa kile ambacho kipo ndani ya uelewa wangu. Nembo zote 3 zimebuniwa na watu 3 tofauti. Nembo A mbunifu ni mimi... niko Dodoma. Nembo B... mbunifu yuko Dar. Nembo C... mbunifu yuko UDOM. Font (maandishi) waliyobandikwa ktk nembo zote 3 ni ubunifu wangu mimi. Nembo B na nembo C waliSubmit originals zao zikiwa font walizozibuni wenyewe lakini naona watayarishaji walizotoa na wakaona ni vyema kutumia font niliyoibuni mimi kwa hizo nembo zote 3.
Hilo ndio jibu sahihi kuhusiana na hilo. Hayo mengine siyajui bro.
Soma nilicho andika upya ...wabunifu tofauti chini ya mwamvuli wa fisadi mmoja ...mafisadi siyo wajinga hoja zako ni za kitoto ...mafisadi wanapo panga ufisadi utumia akili pia ...usikute wewe na hao mlio chaguliwa wote ni makada wa ccm...hivyo ni rahisi kutumiwa kifisadi kufanikisha matakwa yao
 
Hakika ni nzuri. Ndio maana ikafika 3 bora. Ila sasa ili tupate kuielewa zaidi naomba hapa utuwekee maelezo ya nembo (logo description).
Iko simple na Smart zaid, inaonyesha alietengeneza ni Expert mzur na ana ile kitu inaitwa ubunifu au talent ndani yake japo si watu wote watavutiwa nayo kwa mara ya kwanza tu ila ni tamu sana asee. We huoni mkuu?
 
Hizo alama zimeundwa na fisadi mmoja ...ukitumia akili tu utajua, maana zina fanana kwa asilimia 90% ...hapo wabunifu halisi wameondolewa na kubakishwa walio ndani ya mfumo uliopangwa kifisadi kisha ndiyo tunaambiwa,tupige kura kumbe tunatumika tu kuhalalisha ufisadi wa wakina ROSTAM AZIZI...labda wakawadanganye wapuuzi wa misikitini na misukule ya makanisani ila siyo mimi..
Maana faida ya dini kwa sasa ni mbili tu....moja UISLAMU UNAWAGEUZA WAISLAMU KUWA "WAPUMBAVU" NA YA PILI WAKRISTO WANAGEUZANA KUWA "MISUKULE"...hivyo

Wapumbavu + misukule=?
=DINI.
 
Back
Top Bottom