TANZIA Mmiliki wa Mabasi Ya Tavavili Afariki Dunia

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Mmiliki wa Mabasi ya Tavavili Ndugu Max Komba Amefariki Dunia Jana usiku.
.
Bwana Komba alikuwa anasumbuliwa na Kisukari Kwa Mda Mrefu.
.
Bwana Ametoa na Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe
IMG-20221014-WA0163.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Marehemu baba yangu aliniasa nisije miliki chombo cha abiria nitakufa kwa Bp na sukari na niliona jinsi alivyokuwa akipambana na madereva hadi nilipomshauri auze zile gari ilikuwa majanga mara hiki mara kile mzee PB, sukari da! Rip baba yangu
 
Yalikua ya Songea to Dom na Songea- Dar ila karibuni kampuni ilikua imesitisha huduma ya usafirishaji sikufatilia sababu lakin ilikua ni kampuni nzuri sana.
Hizo gari zilikua zimeishawashinda toka mwanzo. Bado zipo sokon kuuzwa hazipati wateja. Ila naona Best line amenunua bahadhi anaanzisha root ya Dar to Musoma akapambane na Kaprocon

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom