Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha
Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato...
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani...
Palikuwa na mfanyabiashara mmoja mashuhuri, mwenye busara na maarifa ya kipekee katika biashara. Siku moja, alipanga safari ya kwenda nchi ya mbali kwa muda usiojulikana. Kabla ya kuondoka...
"TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!”
...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa...
#NDOTO: 14
SOKO LA KIVULI
Nilijikuta nimesimama kwenye soko lisilo la kawaida—kila mtu aliyekuwa pale alikuwa kivuli, si mtu kamili. Waliuza vitu visivyoonekana: mtu mmoja aliuza “heshima,”...
Tajiri hasalimii..
UFAFANUZI KWA KIFUPI.
Ninaposema siamini uwepo wa Mungu simaanishi Mungu hayupo, pengine yupo au hayupo ila ni mimi ndiyo siamini.
Na ndiyo maana huitwa:
Imani za kidini...
Iwe ni uwekezaji, kununua kitu, matumizi mbalimbali ya fedha n.k ambapo ulifanya na baadaye ukaona hauna faida au ukakusababishia matatizo.
Tuelezee kwa kina tujifunze ili tusirudie makosa ya...
Wakuu nimevumilia hili lakini naona linazidi.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la watu wameona kuandika maudhui ya kukejeli kabila la wasukuma ni ujanja ama ni Content ! Na wengine wasiojielewa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Askofu Mwanamapinduzi ametoa ushauri wa serikali na jeshi la polisi kwamba wasiwazuie watu kusali kama wamezui kanisa watu wawe na haki ya kusali kwa njia ambayo ni ya amani, njia ambayo aivunji...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi na Mbunge wa Jimbo la Kondoa Mheshimiwa Dkt Ashantu Kijaji (kati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa maji wa Kwadelo, uliofadhiliwa na Kampuni ya...
Kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo...
Wakuu hili nalo mkalitizame kwa jicho la kipembuzi ni hivi juzi mkeka wa Samia wa Ma Rc,Dc Das na Ras kutoka na jina la Makonda kukosekana ilimshangaza sana Mama Wa Taifa la Zanzibar Fatma Karume...
Naombeni ushauri, namuokoa vipi mwanangu wa miaka minne na kumkinga katika Hali hiii. Ni hivi, Leo nilikuwa nyumbani, na toka asubuhi nilikuwa nae nikicheza nae .
Sasa katika ongea ongea...
Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela
Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi...
Katika karne ya watu waliostaarabika na welevu wa Mambo mipaka ya nchi iliyogawanywa kila nchi na mipaka yake na itikadi au falsafa zake vita zanini?
Kama ni kigezo cha dini kila nchi au taifa...
Jumla ya miradi 52 yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 84 inatarajiwa kukaguliwa, kuzinduliwa au kuwekewa mawe ya msingi wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika katika halmashauri...
Unaposema wewe nimwanamapinduzi basi uwe na uwezo wa kufanya hayo mapinduzi kwa vitendo na ionekane hivyo.
Unaposema wewe ni mpinzani basi uwe na uwezo na kukosoa/kupinga kila baya wanalofanya...
China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜
Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu...
Hawa watu ni wapotoshaji hatari sana kwa taifa. Kwa mfano kwanini mtu anayesapoti ukeketaji kwa mabinti aendelee kuwa uraiani? Wanazo post nyingi za kipumbavu ila hii ya UKEKETAJI inatosha kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.