Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
Tajiri hasalimii..
UFAFANUZI KWA KIFUPI.
Ninaposema siamini uwepo wa Mungu simaanishi Mungu hayupo, pengine yupo au hayupo ila ni mimi ndiyo siamini.
Na ndiyo maana huitwa:
Imani za kidini.
Imani za kishirikina nk.
Juzi nilitabiri kuhusu Dabi ya kariakoo na pengine utabiri wangu umeingia katika tabiri 5 nilizo zishuhudia humu jf ambazo zilitimia kwa asilimia zisizopungua 80.
1. kuna jamaa alitabiri matokeo ya mechi zote mbili za fainali ambayo simba ilicheza na RS Berkane na mechi zote mbili alipatia.
2. kuna jamaa aliwahi kuleta uzi humu 2014 mwanzoni kama nipo sahihi. Alisema safari ya hayati JPM kumtembelea hayati Benjamin Mkapa inaakisi Urais wa JPM 2015, uzi ulikuwa na wachangiaji wachache sana kwani ilikuwa ni jambo lisilofikirika kwa wakati ule kwani ni Kama JPM hakuwa machoni/vichwani mwa wengi kwenye kushinda upezidee.
3.Mwingine huyu (sikumbuki mwaka ila ni kipindi cha J pia) alitabiri kwa mfumo wa kusimulia hadithi, katika hadithi hiyo alisema mkuu wa nchi aliopo atatuacha njiani baada ya kuumwa, Daah ikawa kweli bwana mzee akatuacha🤔.
4. huyu namkumbuka hadi jina anaitwa Maharagwe ya ukweni, huyu alitabiri ajali ya ndege kilichonichosha zaidi alitabiri itakatika vipende viwili. Nadhani hii ilitokea mwaka ule ule aliotabiri na wajuzi wa mambo humu jf walituthibitishia kweli ndege ilikatika vipande viwili 🤔🤔🤔.
Hii ilinifanya niiogope sana Jf.
Nina miezi sita tu tangu nimejiunga rasmi japo ni muda mrefu naperuzi humu.
Mkono wangu juzi ulitaka kuandika 'baada ya mechi Mzinze ndiyo mchezaji ataeimbwa zaidi' Sijuwi ni nini kilinizuia, ila nadhani hapa ndiyo mngepigana vikumbo huko pm.
Utabiri wangu juu ya mchezo ule nimeupa asilimia 88.
Sikuwahi kuandika uzi wowote ule unaohusu michezo kabla.
Siamini uwepo wa Mungu, uchawi wala nguvu za giza ila hii imenitafakarisha sana.